Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Birthday zimekuwa ndo chanzo cha kutafutia pesa kuna birthday Siku za karibuni nimehudhuria mdada kaanda birthday party akatuomba wadau tukutane pub flani ivi ikoo Magomeni Kitu kilichonishangazaSasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wotee au ukiwa na urafiki nao itakuhusu tuu michango shida sio hiyo party shida ni kuchangiana hatupumui aiseee au wadau mnalionajee hiliii??? ishakuwa kero
Nawasilisha
Swala la vinywaji kila mtu anajitegemea yeye mdada alikuja na cake tuu sasa baada ya hayo yote kimbembe kilikuja wakati wa kutoa zawadi Mc anatangaza kila anaekuja kutoa zawadi basi adondoshe elfu 10 au 5 kwenye boxi la zawadi hapo ilibidi nisepe kimya kimya huku najifanya naongea na simu pembeni nikarudi badae sana mambo ya zawadi yameisha ila boxi la zawadi lilikuwa limejaa wekundu