Wadada na birthday party

Wadada na birthday party

Kuna mwanamke aliniomba 50 nilikuwa naye tunapga lunch pamoja.

Nkamwambia sina ila chukua 30 hii itakusaida.
Aisee hakusema asante wala nini kaacha mezani nkawa namshangaa.

Nkamwambia I will show you.

Nikamwita muhudumu nkamuuliza una mtoto na yupo la ngapi?

Muhudumu qkasema ninaye yupo la 4.
Nkamwambia chukua hii 30 mchango wa uniform, muhudumu akasema Mungu akubariki baba. Nkasema amen
nkanyanyuka na kusepa. Naitwa beib beib I was joking.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili za hawa dada wa mjini wanazijua wenyewe. Kuna dada alikuja kunitembelea na jamaa yake akawa anasema oooh shem nina party yangu ya kuzaliwa sijui anafanyie ukumbi gani wala sikutaka kumpa matumaini nikamwambia hata harusi sichangii sembuse upuuzi. Huku Dodoma kuna wadada fulani wanajiita sijui ujinga gani. Utasikia team February bado project ya March. Bora pesa nikawape mayatima na watu masikini kuliko hawa wadada wasio jitambua.
 
Wanazingua saana
 
Sasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wote.

Ukiwa na urafiki nao itakuhusu tuu michango shida sio hiyo party shida ni kuchangiana hatupumui aiseee.

Au wadau mnalionajee hiliii??? Ishakuwa kero.

Nawasilisha.
Ukiona mdada anasherehekea birthday ujue kapata danga jipya, madada siku hizi hawana tarehe maalum ya kuzsliwa [emoji23][emoji23]
 
Kuna mwanamke aliniomba 50 nilikuwa naye tunapga lunch pamoja.

Nkamwambia sina ila chukua 30 hii itakusaida.
Aisee hakusema asante wala nini kaacha mezani nkawa namshangaa.

Nkamwambia I will show you.

Nikamwita muhudumu nkamuuliza una mtoto na yupo la ngapi?

Muhudumu qkasema ninaye yupo la 4.
Nkamwambia chukua hii 30 mchango wa uniform, muhudumu akasema Mungu akubariki baba. Nkasema amen
nkanyanyuka na kusepa. Naitwa beib beib I was joking.
Hadi aibu yani, akajitia kuzira,, hivi wanawake wengine wakoje,, mnawatolea wapi😥😥ulifanya poa kumpa huyo muhudumu, barikiwa pia
 
Kila kukicha ni malalamiko juu ya wanawake [emoji276]ifike mahala mpumzishe jinsia ya kike.
 
Hadi aibu yani, akajitia kuzira,, hivi wanawake wengine wakoje,, mnawatolea wapi[emoji26][emoji26]ulifanya poa kumpa huyo muhudumu, barikiwa pia
Amen. Noo nahisi wanataka maigizo ya tamthilia
 
Demu akikuita pub sana sana unaenda kutumia hela zako juu yako na juu yake. Hapo kila aliyeitwa kaitwa dear, love, mchumba, mpenzi, etc ila mkifika eneo la tukio mnaitwa 'marafiki zangu'. Huo mtego usirudie unless uwe unataka kutoa hela
Napitia pitia mambo ya ubahili
 
Akili za hawa dada wa mjini wanazijua wenyewe. Kuna dada alikuja kunitembelea na jamaa yake akawa anasema oooh shem nina party yangu ya kuzaliwa sijui anafanyie ukumbi gani wala sikutaka kumpa matumaini nikamwambia hata harusi sichangii sembuse upuuzi. Huku Dodoma kuna wadada fulani wanajiita sijui ujinga gani. Utasikia team February bado project ya March. Bora pesa nikawape mayatima na watu masikini kuliko hawa wadada wasio jitambua.
Duu, watu wana hela za mchezo
 
Back
Top Bottom