Wadada na birthday party

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili za hawa dada wa mjini wanazijua wenyewe. Kuna dada alikuja kunitembelea na jamaa yake akawa anasema oooh shem nina party yangu ya kuzaliwa sijui anafanyie ukumbi gani wala sikutaka kumpa matumaini nikamwambia hata harusi sichangii sembuse upuuzi. Huku Dodoma kuna wadada fulani wanajiita sijui ujinga gani. Utasikia team February bado project ya March. Bora pesa nikawape mayatima na watu masikini kuliko hawa wadada wasio jitambua.
 
Wanazingua saana
 
Ukiona mdada anasherehekea birthday ujue kapata danga jipya, madada siku hizi hawana tarehe maalum ya kuzsliwa [emoji23][emoji23]
 
Hadi aibu yani, akajitia kuzira,, hivi wanawake wengine wakoje,, mnawatolea wapi😥😥ulifanya poa kumpa huyo muhudumu, barikiwa pia
 
Kila kukicha ni malalamiko juu ya wanawake [emoji276]ifike mahala mpumzishe jinsia ya kike.
 
Hadi aibu yani, akajitia kuzira,, hivi wanawake wengine wakoje,, mnawatolea wapi[emoji26][emoji26]ulifanya poa kumpa huyo muhudumu, barikiwa pia
Amen. Noo nahisi wanataka maigizo ya tamthilia
 
Demu akikuita pub sana sana unaenda kutumia hela zako juu yako na juu yake. Hapo kila aliyeitwa kaitwa dear, love, mchumba, mpenzi, etc ila mkifika eneo la tukio mnaitwa 'marafiki zangu'. Huo mtego usirudie unless uwe unataka kutoa hela
Napitia pitia mambo ya ubahili
 
Duu, watu wana hela za mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…