Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.
 
Bishanga na Kaizer mpo wapi mumsaidie shemeji yenu mtarajiwa hapa?
viane afu huu uzi wako hamishia jukwaa la MMU hapa c mahali pake!
 
Last edited by a moderator:
wahaya aka mabwenga mpooo!!!! Mwagani maujuzi....mke mtarajiwa uanafahamu kitu katerero!!!????
 
Kuna kitu inaitwa "Maji" au "maji ya ziwa victoria" lazima ujifunze.ukiisha ijua, kwenye godoro lako utakuwa unatandika kwanza plastick ndio yanafuata mashuka.Kifupi wanaiita "katerero"
 
Ingia hapa-https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/17257-wahaya-tunachunguzwa-sana-katika-mapenzi-why.html?highlight=
 
haya nawaje watupe maujuzi nasie wa pwani tujifunze..tusende usokotera unyago ....
 
Tegemea kuolewa na kaka na wadogo zake pindi mmeo hayupo..... Hakuna kujisikia mpweke utapewa full MATOKE.......
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

Karibu sana viane,
Huku tarajia kupata upendo toka kwa mawifi na wakwe. Mengine tutakupa makungwi wakujuze na kukufunda!
Hakuna miiba...Karibu!
 
Last edited by a moderator:
Utajua miti shamba ya kila aina duniani ,utapatiwa na shuntama na tanakabawee
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

Nilijua unatafuta comments za kihuni na utazipata, after all I don't think you are a wife/bride to be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…