Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.
ha ha NYEGERA WAITU..
Ukifika kanyigo kuwa na makune, piga magoti wakati wa kusalimia yaani hadi heshima na utii kwa kwenda mbele, haya mambo si ya kujadili kabisa! Lakini kule kanyigo ni wakarimu kabisa.karibu