Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

Wadada na wakaka wa kihaya mpooooo??????

Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

ha ha NYEGERA WAITU..
Ukifika kanyigo kuwa na makune, piga magoti wakati wa kusalimia yaani hadi heshima na utii kwa kwenda mbele, haya mambo si ya kujadili kabisa! Lakini kule kanyigo ni wakarimu kabisa.karibu
 
tarajia mahaba motomoto tu si unajua tena sie wahaya mabo yetu kunako gizani............
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

karibu hacha woga..huku raha tupu
 
Duuh!! Hilo neno tuu la katerero ndo geni kwangu, naomba nilifahamu kwanza kabla cjapita njia..memberz!!
 
Asanteni kwa mchango wenu. Kuna mmoja kasema ati kwa nini nimesema kanyigo! Ila nataka kumjibu kuwa mume mtarajiwa ni wa kanyigo na mungu akijalia december nitatia nanga huko kanyigo. Mwingine kasema kama sijasoma nitapata shida sababu ya ndugu wa mume kunidharau, hilo halina shida sana kwani natarajia kuanza degree ya pili soon,,,isitoshe huyu mume mtarajiwa ana degree moja tu na ameajiriwa na bado hana mpango wa kujiendeleza kwa sasa hivyo nimempita kielimu, zaidi nawashukuru woteeeee,,,,,, tukifunga ndoa nitawajulisha shemeji zangu wa bk hapa hapa jf,,,,
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

I see mchanganyiko mzuri sana huo.
Jiandae kula senene, kutafuna kahawa na kunywa RUBISI.

Sikutishi ila mila za kihaya kwenye kuoa complicated kidogo but sbb unaolewa at least

Wakaka wa kanyigo wako safi na wahaya kwa ujumla, nadhani umejionea hadi umefika bei.

Karibu KANYIGO wifi.
 
Yeah,,,, kokutuna...asante sana,,,, nimeona wakaka wa kanyigo wazuri sana na wanadhamini utu ndio maana hadi tumefikia maamuzi.... By the way nawashukuru wote mlio changia mada...karibuni tanga.
 
umefanya vema katika hilo,jiandae kupata vitu vya asili pure,mf kunywa lubisi badala ya bia,omulamba (banana juice) badala ya maji ya kwenye chupa, chakula chenye enshole,embambalike ,ni mwisho wa maelezo kwa utamu wakati wewe hapo jina lako jipya ni Mugole!
Karibu sana,utatukuta kwa makaribisho Mungu akipenda.
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

Tarajia penzi la nguvu na wewe kumrudishia matamu tupu..........kila la kheri.........lakini wadada wa kihaya umewatajia nini .. viane..au unawadobosha kuwa umejipatia kivuno..................
 
Last edited by a moderator:
...ni watu wazuri tu, muhimu ni maelewano yako wewe na yeye, na jinsi mtakavyoendesha maisha yenu ya ndoa. Usisikilize ya watu kwani sio wahaya pekee wenye matatizo, bali kila kabila na kila mtu binafsi anakuwa na udhaifu wake,sasa ni kujitahidi kuvumiliana, yale yanayorekebika mrekebishe mwenzako na wewe pia una madhaifu yako na uwe pia tayari kurekebishwa na mwenzako au hata jamii....kila la kheri, ndoa ni MAELEWANO na sio kitu kingine...Inshaallah mtafurahia ndoa yenu asikutishe mtu, zaidi ya yote mtangulizeni MUNGU katika kila jambo.
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.
 
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

POLE SANA MIMI ATA WANIFUNGIE NA NYORORO NITAAAKIKISHA NIMEUKATA ATA KWAMENO,wahaya %80 siwo izo 20 ndio labda labda. ila jikaze na ujaribu
 
Back
Top Bottom