Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia hapa-https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/17257-wahaya-tunachunguzwa-sana-katika-mapenzi-why.html?highlight=
Ngoma ilianzia huko!
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.

na kwenye mikusanyiko usifikiri wataongea kiswahili kwa sababu wewe hukijui kihaya.tegemea kuwa nyamahanga