Siku nyingine weka kiasi cha pesa cha matumizi yako kwenye budget,kama ni 300,000 per day basi inatosha na sio kutembea na burungutu la pesa kama uko mnadani kuchagua kitoweo
Pili,hakikisha unalala Hotel yenye hadhi,kiasi cha kwamba hawezi toka ndani,hadi pale reception wawasiliane na wewe,je wamuruhusu aende zake?? Na hapo ndiyo utajua kabisa huyu kaiba,kwa nini kaondoka bila kuniaga??
Tatu,ukiona umelewa sana na una pesa ndefu,ingia chumbani tafuta sehemu ficha hizo pesa,weka kidogo tu kama 20,000 hivi mfukoni,maana mkiingia room,lazima demu ataenda chooni,ficha hizo pesa popote pale unapoona hawezi kuona!
Nne,unaweza pia vuta kitanda hadi kwenye mlango,kitanda kizibe mlango kiasi cha kwamba hawezi kuvuta kile kitanda utasikia tu au hawezi kua na nguvu zakuvuta kitanda,na hii kama umelala kwenye Guest hizi za kajamba nani