ila mi nahisi huwa unahisi jamaa atakua anapewa service na mtu mwinigne ili hali we upo holiday! teh tehKawaida tena bora huyo, me huwa nakuwa nina hasira balaa, naweza kuanzisha ugomvi, km yupo mbali ni kupiga cm na kutuma sms hadi anajuta kunifahamu.
Ila thanx God nw anajua kwann huwa nakuwa hivyo, hii kitu mbaya sana