Wadada nahitaji msaada wenu hapa! masuala ya period!

Wadada nahitaji msaada wenu hapa! masuala ya period!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Mpenzi wangu akiwa kwenye siku zake(hedhi) anakuwa hana hamu ya kuwasiliana au kutumia simu so nikimpigia anaweza asipokee au akipokea anaongea kidogo tu then anakata na kusema atanipigia baadae na hiyo baadae wala hapigi tena au nikimtext anaweza asireply kabisa!

Kwa kifupi kipindi hiki huwa anakuwa kama hana hamu na mimi!
Sijakaa nae karibu ili nijue kipindi hicho physically huwa anakuwa na hali gani!
Ila siku zingine hanaga shida yeyote!

Je hii ni kawaida? Au yeye atakuwa na tatizo!
 
Kawaida sanaaa, mimi huwa stamani kabisa kuongea ikiwezekana ni vile tuu huwa inashindikana
 
ni kawaida sana.........mimi hata ukiniambia mambo ya pesa wakati huo wala sikusikilizi....
 
Ni jambo lakawaida ile kitu inaharibu moody kabisa...ila uwe unawasiliana nae kwa sms
 
mie sijawahi kujua,najioneaga kila kitu kawaaida tu kumbe mood huwa zinachange
 
Kawaida tena bora huyo, me huwa nakuwa nina hasira balaa, naweza kuanzisha ugomvi, km yupo mbali ni kupiga cm na kutuma sms hadi anajuta kunifahamu.

Ila thanx God nw anajua kwann huwa nakuwa hivyo, hii kitu mbaya sana
 
ila mi nahisi huwa unahisi jamaa atakua anapewa service na mtu mwinigne ili hali we upo holiday! teh teh
ila kuna wengine wanakua na hamu kuliko mda anapokua off MP.
 
mie napataga dalili za mimba mwenzenu, mara kichefuchefu, mara ctaki hiki, hasira ndio usipime
 
Back
Top Bottom