Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,285
Mpenzi wangu akiwa kwenye siku zake(hedhi) anakuwa hana hamu ya kuwasiliana au kutumia simu so nikimpigia anaweza asipokee au akipokea anaongea kidogo tu then anakata na kusema atanipigia baadae na hiyo baadae wala hapigi tena au nikimtext anaweza asireply kabisa!
Kwa kifupi kipindi hiki huwa anakuwa kama hana hamu na mimi!
Sijakaa nae karibu ili nijue kipindi hicho physically huwa anakuwa na hali gani!
Ila siku zingine hanaga shida yeyote!
Je hii ni kawaida? Au yeye atakuwa na tatizo!