Wadada naombeni picha zenu pm!

Ahahahaha ila hakuna mtu alikuwa na vitukp kama bujibuji aliongelewa miezii alitaniwa wewe
Siku hizi kapunguzaa
Hahaha yani mi kwa kweli kuanzia ile siku kaburi la gilesi limefukuliwa yani nkiiona id ya bujibuji nacheka sana hahahahaa,ningekuepo kipindi hicho naona ningecheka nusu mwaka
 
Hahaha yani mi kwa kweli kuanzia ile siku kaburi la gilesi limefukuliwa yani nkiiona id ya bujibuji nacheka sana hahahahaa,ningekuepo kipindi hicho naona ningecheka nusu mwaka
Mi nilikuwepo tena comment yangu ipo naionaga nacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…