Wadada naombeni picha zenu pm!

Wadada naombeni picha zenu pm!

Hahahaha Demiss acha tu yan nisipovaaa tyt wowowo linatetemeka kama tetemeko la Ardhi la hait acha tu shost angu
Inaonekana enzi hizo pm yako ilijaa sana maana wanaume wanapenda wowowo usiniambie shost hebu nipe ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Looh giles wewe ndo maana nakupenda shost
 
Hii biashara gani tena inataka kuanza
 
Watatuma picha za kina beyonce!maana picha zao unaweza kudhani kichuguu au banda la tigopesa
[emoji23][emoji23][emoji23] acha zalau mkuu, dadazetu humu wote niwakishua we subiri uzi uchanganye utaona.
 
Back
Top Bottom