Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mkopo wenyewe masaa 24 hayaishi umeshaingia.
Et kama kichuguu hahah watu wana madharau sanaWakina sie ndo kama vibanda vya M-PESA
Kweli tena nakuapia kabaya lakin napendwa vibayaaaaa mpaka najiona QueenUmejuaje km we kabaya bila kuambiwa??wanaosemaga hivyo ndo huwa wazuri kupindukia
Ahahahaha ila hakuna mtu alikuwa na vitukp kama bujibuji aliongelewa miezii alitaniwa weweHahahaha mbaya zaidi na ye akawa anakuja na id yake inayojulikana anatoa ushaur wa nini cha kufanya ili matako yasitingishike
Iko namna sio bure!kwa maneno yako tuuu nimejua we kifaa la nguvu!nishakuelewaKweli tena nakuapia kabaya lakin napendwa vibayaaaaa mpaka najiona Queen
Ahahahahah hapana wa kawaida sana il K nnayoIko namna sio bure!kwa maneno yako tuuu nimejua we kifaa la nguvu!nishakuelewa
AhahahahBasi kuna eneo linafidia
Hunishindi mimi[emoji23] [emoji23] bamkubwa kaniharibu sanaMim ni kabaya wala hata usihangaike na mimi wapo totoz humu
Hahaha yani mi kwa kweli kuanzia ile siku kaburi la gilesi limefukuliwa yani nkiiona id ya bujibuji nacheka sana hahahahaa,ningekuepo kipindi hicho naona ningecheka nusu mwakaAhahahaha ila hakuna mtu alikuwa na vitukp kama bujibuji aliongelewa miezii alitaniwa wewe
Siku hizi kapunguzaa
Tarajia kukutana na ma bibi bombaKina dada wazuri naomba mnitumie picha zenu pm Nina shughuli ya kufanya lengo ni zuri watakao tuma watakuna na muamala mzuri tu Wa M-PESA tigo pesa na Airtel money!
Karibuni warembo wazuri!
Polee tulifata sura za wajombaHunishindi mimi[emoji23] [emoji23] bamkubwa kaniharibu sana
Mi nilikuwepo tena comment yangu ipo naionaga nacheka tuHahaha yani mi kwa kweli kuanzia ile siku kaburi la gilesi limefukuliwa yani nkiiona id ya bujibuji nacheka sana hahahahaa,ningekuepo kipindi hicho naona ningecheka nusu mwaka
Hahaahhahahaa kina bi tukinaoTarajia kukutana na ma bibi bomba
Na mpua kama ngumi ya van damme hahaha baba we tuache tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia sura ina kona kona ka kitonga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Polee tulifata sura za wajomba