DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Huu ndio ukweli, tuache kuyumbisha maneno, daladala/mwendokasi ni USAFIRI WA HOVYO KWA AJILI YA WATU HOVYO tupambane tununue hata corola 100.Hapa ni kukaza buti tununue hata vitz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli, tuache kuyumbisha maneno, daladala/mwendokasi ni USAFIRI WA HOVYO KWA AJILI YA WATU HOVYO tupambane tununue hata corola 100.Hapa ni kukaza buti tununue hata vitz
I second you.Hilo jiji watu wengi wapo busy na kutafuta maisha, wala hawana haja na hizo heshma.
Dar ukitaka raha na heshma, bora upambane ununue gari lako.
Sasa kama unapanda daladala katikati ya route mfano tabata relini, ubungo riverside, buguruni utasubiri hasdi sangapi upate siti labda kama unaondoka saa sita mchana, ila sio mida ya asubuhi au jiono tena kwa kubahatisha.Ndio maana sipendi tabu ya kupanda gari zilizojaa, nawahi kituoni nipate muda wa kusubiria gari yenye nafasi. Kubambiana kwenye daladala ni kufedheheshana tu
Kwa hiyo wanaingizwa kidole???Endelea kujifikirisha
Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali
Nimesoma shule za jeshi, walikuwa wanatusimulia kipindi cha nyuma ukiwa jeshini mkuu wako wa kikosi anaweza kukwambia inama na akakushika tako. Je hawa wanajeshi sio rijali?
Mabondia wote wanaoenda kupigana ngumi za kulipwa nchi za watu huwa lazima daktari awainamishe anaingiza kidole na kumwambia akohoe. Hawa sio rijali?
Ukweli ni ngumu ukiwazia sana mda mwingine mambo haya ya kuomba yapite mbali. .
Wote wanaoenda kupigana lazima. Siku ukikutana na mmoja ukamwambia wanakuw wakali sana.Kwa hiyo wanaingizwa kidole???
Ingelikuwa nimeandika mimi huu uzi wa kumhusu huyo binti basi ningetiririka na full story, Hicho kipande nimekiandika baada ya kukumbuka hiyo moment iliyonikuta wakati huo nakupelekea nikapata kula tunda kimasihara...chai.
Janaba maan yake nini ?Watembea na janaba ndo huwa wanapata kadhia.
Ulikuwa advance hapo... ujuba uliuanza mapema sana.Sikulazimishi uamini ktk maneno yangu..Ila kaa ukitambua kuwa Dar hii early 90’s to 2009 tulikua watu wachache sio kama hivi leo hivyo kukutana na mtu kwa mara nyingine kwenye usafiri ilikua kawaida na ndipo nilipokutana kwa mara nyingine na huyo binti nasikuona ubaya wa kueleza hisia zangu kwake...Kumbe hata yeye alikuwa bado akiniwaza hivyo niliweza kula tunda kimasihara huwezi kuamini!
Kwa kiislam ukifanya tendo la ndoa au ukitokwa na manii/shahawa huwezi kufanya ibada hadi uoge, hiyo hali ndio inaitwa Janaba.Janaba maan yake nini ?
Ndio tunapambana kujaza kibubu.Panda bajaj au boda au nunua gari.
Asante kwa MAARIFAKwa kiislam ukifanya tendo la ndoa au ukitokwa na manii/shahawa huwezi kufanya ibada hadi uoge, hiyo hali ndio inaitwa Janaba.
😊😊😊 watu wanaponea humo humo tu,
ni lugha ya pichaJanaba maan yake nini ?
We jamaa wewe ...Mabondia wote wanaoenda kupigana ngumi za kulipwa nchi za watu huwa lazima daktari awainamishe anaingiza kidole na kumwambia akohoe. Hawa sio rijali?