Wadada ndani ya Daladala

Wadada ndani ya Daladala

Ndio maana sipendi tabu ya kupanda gari zilizojaa, nawahi kituoni nipate muda wa kusubiria gari yenye nafasi. Kubambiana kwenye daladala ni kufedheheshana tu
Sasa kama unapanda daladala katikati ya route mfano tabata relini, ubungo riverside, buguruni utasubiri hasdi sangapi upate siti labda kama unaondoka saa sita mchana, ila sio mida ya asubuhi au jiono tena kwa kubahatisha.

Solution ni kununua gari lako tu.
 
Wanawake wasasa hawajari kabisa,sjui hata wamekuwaje

kWenye hz nyumba za kupanga unakuta mwanamke kajifunga khanga au ana kisketi kifupi lakin anainama inama hovyo utazan kuwa hajui kuwa mapaja anayaacha wazi
 
Endelea kujifikirisha

Ukiwa na bawasiri ukaenda hospital kufanyiwa operation utakuwa sio rijali

Nimesoma shule za jeshi, walikuwa wanatusimulia kipindi cha nyuma ukiwa jeshini mkuu wako wa kikosi anaweza kukwambia inama na akakushika tako. Je hawa wanajeshi sio rijali?

Mabondia wote wanaoenda kupigana ngumi za kulipwa nchi za watu huwa lazima daktari awainamishe anaingiza kidole na kumwambia akohoe. Hawa sio rijali?

Ukweli ni ngumu ukiwazia sana mda mwingine mambo haya ya kuomba yapite mbali. .
Kwa hiyo wanaingizwa kidole???
 
Ingelikuwa nimeandika mimi huu uzi wa kumhusu huyo binti basi ningetiririka na full story, Hicho kipande nimekiandika baada ya kukumbuka hiyo moment iliyonikuta wakati huo nakupelekea nikapata kula tunda kimasihara...
 
Sikulazimishi uamini ktk maneno yangu..Ila kaa ukitambua kuwa Dar hii early 90’s to 2009 tulikua watu wachache sio kama hivi leo hivyo kukutana na mtu kwa mara nyingine kwenye usafiri ilikua kawaida na ndipo nilipokutana kwa mara nyingine na huyo binti nasikuona ubaya wa kueleza hisia zangu kwake...Kumbe hata yeye alikuwa bado akiniwaza hivyo niliweza kula tunda kimasihara huwezi kuamini!
Ulikuwa advance hapo... ujuba uliuanza mapema sana.
 
Kuna ule mlango wa coaster dizain unafunguka kwa nje, Basi siku hiyo gari imejaa balaa,mimi nikajipenyeza wala sikuweza panda zile ngazi tulikua tumesimama pale anaposimama konda kwenye mlango, mimina mdada fulani, basi konda katika purukushai za kufunga mlango tukajikuta face to face na yule mdada, zero distance, tukatizamana afu wote tukatabasamu, akaniambia tu ngoja nikupake lipstick kwenye shati lako ukapate balaa kwa mkeo.
Daah naumsigi sana usafiri wa public.
 
""Kuna watu wana maradhi, hawawezi kuhimili kugusana na ndio zile hadithi unasikia mtu kachafuliwa, inakuwa gumbo. Au njemba mwengine kawekea "bogi" anajua dada watu anamtaka, anaanza kuji-tune na yeye, baadae mdada anahamaki inakuwa fedheha,"" 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Moment nnayokumbuka mimi kwenye daladala ni nzuri
Nilikua na manka wangu kwenye gari na nauli ya kulipia sikua nayo
Akanipitishia kwa chini chini hela ili nilipe mimi nisiadhirike
 
Mabondia wote wanaoenda kupigana ngumi za kulipwa nchi za watu huwa lazima daktari awainamishe anaingiza kidole na kumwambia akohoe. Hawa sio rijali?
We jamaa wewe ...
 
Back
Top Bottom