Wadada ni nguo gani ya mpenzi wako unapenda kuivaa?

Wadada ni nguo gani ya mpenzi wako unapenda kuivaa?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda.

Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo zao kuvaliwa na wenza wao ila wapo wanaopenda na huwachangulia nguo hizo wenza wao na kuwapa wavae, ili wafurahie penzi lao kwa kumuona mwenza wake kapendeza kwenye vazi lake.

Je, Wanawake mnapenda zaidi kuvaa ngo za aina gani za wapenzi wenu na wakka mje mtuambie ni nguo gani uvaliwa zaidi na wenz awenu?
 
Hapana, miye nimpangqji wa vitu vyangu sana, sipendi kutafuta vitu kbs.
Yaani nikiamka asbh najua kbs nguo ile inaenda na ile. Sinaga muda wa kutafuta nguo, viatu.
Sipendi kuuliza ile nini ipo wp sijui na ile sipendi.

Mkuu, wewe ni mimi kabisa, kama kuna kitu sipendi ni kuanza kutafuta kitu/nguo chumbani. Au uweke kitu sehemu flani, halafu ukikute hakipo pale uanze kutafuta. 😁
 
Back
Top Bottom