Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Sipendi kila mtu avae zake, unajua kuna kitu unanunua wee ndiyo unajua hii kali sana aiisee. Ss mwenzako hata hana habari na hiyo nguo wee unaithamini kiasi gani?Sasa kuna zile za nyumbani tu boxer na tshirt navyo ni vya kumnyima mtu?