Shindii wa mtu hapa tunaongelea nguo, sio pesa! Hata kama ni zipe chupi za kiume we sema tu😁Pesa.
Uchoyo tu!Kila mtu avae zake, sipendi kushare sbb najua nitunzaje nguo zangu.
Hapana, miye nimpangqji wa vitu vyangu sana, sipendi kutafuta vitu kbs.Uchoyo tu!
Mungu nifundishe kunyamaza.I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Sasa kuna zile za nyumbani tu boxer na tshirt navyo ni vya kumnyima mtu?Hapana, miye nimpangqji wa vitu vyangu sana, sipendi kutafuta vitu kbs.
Yaani nikiamka asbh najua kbs nguo ile inaenda na ile. Sinaga muda wa kutafuta nguo, viatu.
Sipendi kuuliza ile nini ipo wp sijui na ile sipendi.
Vipi nikuazime🚶♀️
😀siyo unipe kabisaVipi nikuazime
Hapana, miye nimpangqji wa vitu vyangu sana, sipendi kutafuta vitu kbs.
Yaani nikiamka asbh najua kbs nguo ile inaenda na ile. Sinaga muda wa kutafuta nguo, viatu.
Sipendi kuuliza ile nini ipo wp sijui na ile sipendi.
utaijia sasa 😂😀siyo unipe kabisa
😎nitaomba nileteweutaijia sasa 😂
Baddest, sema ijia tu utawala wangu ndio safe 😂😎nitaomba niletewe
Miye sipendi aisee kutafuta vitu, najua nikigusa hapa kuna hiki, pale kuna kile.Lakini unahangaika utafikiri umepoteza funguo bwana.Mkuu, wewe ni mimi kabisa, kama kuna kitu sipendi ni kuanza kutafuta kitu/nguo chumbani. Au uweke kitu sehemu flani, halafu ukikute hakipo pale uanze kutafuta. 😁