Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Sipendi kila mtu avae zake, unajua kuna kitu unanunua wee ndiyo unajua hii kali sana aiisee. Ss mwenzako hata hana habari na hiyo nguo wee unaithamini kiasi gani?Sasa kuna zile za nyumbani tu boxer na tshirt navyo ni vya kumnyima mtu?
Pethaa ππPesa.
I still insistI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Inapendeza !TShirt zake jamani nazipenda hadi basi. Nikiipenda tuu naivaa ndio inakuwa yangu
π π π mmmh mtegoBaddest, sema ijia tu utawala wangu ndio safe π
Hiyo ndio nguo yake pekee ninayopenda kuvaaπ€£π€£π€£Shindii wa mtu hapa tunaongelea nguo, sio pesa! Hata kama ni zipe chupi za kiume we sema tuπ
Huyo shemeji wa bunda ni yupi tenaπ€£Sema sasa kwenye nguo za yule shemeji yetu wa bunda, unapenda nguo gani !π₯Έ
hahahaaaaπyatima wa mapenzi tunausoma huu uzi huku tunasonya mxiuuuuuuuuπ upuuzi tu
Kumbe ni mtu wa bundaπShemeji chai
Nimekwambia simjui achana na zile chai zakeMdole wake tena πΈ!! enewei kwani mnaishi vipi sasa kama hamshei tuvitu tudogo tudogo kama hutwo. Au nyie sharing is caring hamjawahi kuiskia π!
Acha uoga, mi sili watu πππ π π mmmh mtego
πππ awapiAcha uoga, mi sili watu ππ
Jina langu intelli na lazima nile, nikikosa kula na we ndo chakula nita konda mazima ππππ awapi
πππ ndiyo nataka ubaki mojaJina langu intelli na lazima nile, nikikosa kula na we ndo chakula nita konda mazima π
Kwa hapa nilipo nikibaki 1 nageuka nguzoπππ ndiyo nataka ubaki moja