MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
-
- #321
Mimi nywele zangu ni ndefu hazikui tena natumia movit relaxer dawa ya nywele na steaming lorys sababu nina nywele nyingi kichwani
Nifanyeje ili zikue tena msaada na je kukata nywele ncha inasaidia nini?
Ukikata ncha za nywele' kwanza zinakuwa smart,mwenyewe unaonekana smart na pia uenda nywele zako zikaongezeka urefu.
MillionHairs ni mafuta gani ukipaka kwenye nywele zinavurugika vurugika??!Napenda sana hiyo style... na je ni lazima nywele ziwe natural au hata zilizokuwa relaxed zinafaa?!
MillionHairs ninahitaji kujifunza kutengeneza nywele na ubunifu mbalimbali.
ila siyo kusuka .
ni wapi nitaweza kusoma kozi ya muda mfupi
?
kwa vitendo yaani saloon.
Napenda kunyoa, ila nmechoka style moja ya nywele fupi, nifanyeje kufanya muonekano bomba zaid
Uko wapi MillionHairs mbona hujajibu hili swali?
nywele zangu kavu na hazishiki dawa na zinakatika, nilikuwa naweka easy wave sa hivi natumia miadi dawa,mafuta na steaming lakini bado kavu na zinakatika na n brown sana.pia ngozi ya kichwa inauma hata kama sisuki tatizo nini?
MillionHairs ni mafuta gani ukipaka kwenye nywele zinavurugika vurugika??!Napenda sana hiyo style... na je ni lazima nywele ziwe natural au hata zilizokuwa relaxed zinafaa?!
Napenda kunyoa, ila nmechoka style moja ya nywele fupi, nifanyeje kufanya muonekano bomba zaid
MillionHairs ninahitaji kujifunza kutengeneza nywele na ubunifu mbalimbali.
ila siyo kusuka .
ni wapi nitaweza kusoma kozi ya muda mfupi
?
kwa vitendo yaani saloon.
Uko wapi MillionHairs mbona hujajibu hili swali?
Je unaweka wave nouvoux katika saluni yako? na ni sh ngapi unafanya?
MillionHairs hongera kwa kujitoa kwako. Tafadhali naomba msaada katika swali hili. Kwa sasa napaka mafuta ya dr miracleSitofautiani sana na MimiP..
Nina dread, ila nywele zangu ni chache sana na kavu.
Nipake nini zijae na nitumie mfuta gani mazuri? asante