Titia
Senior Member
- Jul 3, 2013
- 155
- 114
mimi nina tatizo la kukatika nywele. limenianza ss
hv. nimezoea kuweka wave ya movit. cku nilibadilisha nikaweka mwenyewe curl movit step 1. baada ya muda km wiki hv nikaona haijakolea nikaweka wave ndo tatizo lilipoanzia. nikichana nywele zinajaa kwenye chana. ss hv yaani nina kipara kikubwa tu kichwani. nimechanganyikiwa cjui nifanyeje. nataka nywele zisiendelee kukatika, nifanyeje?