Nenda Asili salon ipo opposite na Shopperz plaza Mwai kibaki road. Hawa ni wataalamu wa Natural hair
Nina ndugu yangu anataka kujifunza mambo ya salon kwa ujumla mf kuchana,make up n.k, je ni salon/chuo gani kizuri ambapo anaweza kujifunza, nijibu au pm.
Mimi nataka nifanye nywele zangu dreadlocks je salon gani naweza kwenda nzuri. Nina nywele ndefu sijaweka dawa ni za asili.