Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,738
Reaction score
3,199
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa itakufa, sikutabirii ila ndio kanuni, hutatoboa,

Kuna Dada namfahamu, amemaliza Chuo,hajawahi tulia akawa na Mchango katika ndoa yake, karibuni analalamika mume wake kamtelekeza na Watoto,lakini Dada ni lifestyle yake ni maisha ya juu,ya kupenda kula na kunywa sehemu nzuri Kwa gharama za Familia. Wanaume hatupendi wadada mizigo,uta survive muda mfupi, unapokaribishwa, ukiwa na Watoto wawili/ watatu hutoboi na tabia hizo.

Tabia za kula Hela za wanaume bila michango kwenye familia waachie Ma slay Queen,ndio kazi na taaluma zao.Dada be productive and add value to your Married.

Gotcha you!
 
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa Mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela,yeye kazi yake kutumia..Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia,sio kusubiri kudaka tu.Heshima yako na ndoa itakufa,sikutabilii ila ndio kanuni,hutatoboa,

Kuna Dada namfahamu, amemaliza Chuo,hajawahi tulia akawa na Mchango katika ndoa yake,karibuni analalamika mume wake kamtelekeza na Watoto,lakini Dada ni lifestyle yake ni maisha ya juu,ya kupenda kula na kunywa sehemu nzuri Kwa gharama za Familia. Wanaume hatupendi wadada mizigo,uta survive muda mfupi,unapokaribishwa, ukiwa na Watoto wawili/ watatu hutoboi na tabia hizo.

Hii ni kweli kabisaa....be productive....ujumbe makini sana huu
 
Pesa zao za kuwasahaulisha kuzaa kwa uchungu, wanaume tuvuje jasho tulee familia zetu
Ndio Mnaachwa na hao Watoto! Mnabakia kula Kwa macho hizo Hela,mpaka wanaume wengine wanakufa Kwa depression kukosa Msaada,,Mke anataka Hela, Watoto,mama yako Mzazi,Baba,Dada zako,wadogo zako!
 
Ukimpa mtaji mbona nirahis ila sio azunguke kutafuta hapo changamoto
Wazo zuri,akipewa mtaji asaidie familia,afocus kwenye Biashara seriously.sio Biashara iendelee kumfilisi mtoa mtaji
 
Ndio Mnaachwa na hao Watoto! Mnabakia kula Kwa macho hizo Hela,mpaka wanaume wengine wanakufa Kwa depression kukosa Msaada,,Mke anataka Hela, Watoto,mama yako Mzazi,Baba,Dada zako,wadogo zako!
Ukiachwa na watoto wewe ni baba upambane
 
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa Mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela,yeye kazi yake kutumia..Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia,sio kusubiri kudaka tu.Heshima yako na ndoa itakufa,sikutabilii ila ndio kanuni,hutatoboa,

Kuna Dada namfahamu, amemaliza Chuo,hajawahi tulia akawa na Mchango katika ndoa yake,karibuni analalamika mume wake kamtelekeza na Watoto,lakini Dada ni lifestyle yake ni maisha ya juu,ya kupenda kula na kunywa sehemu nzuri Kwa gharama za Familia. Wanaume hatupendi wadada mizigo,uta survive muda mfupi,unapokaribishwa, ukiwa na Watoto wawili/ watatu hutoboi na tabia hizo.

Tabia za kula Hela za wanaume bila michango kwenye familia waachie Ma slay Queen,ndio kazi na taaluma zao.Dada be productive and add value to your Married.

Gotcha you!
Utakula kwa jasho mpaka utakapoludi mavumbini ulimotwaliwa,

Na mimi nitazaa kwa chungu,akanizishidia uchungu na tamaa yangu itakua kwa mume wangu naye atanitawala.
 
Mleta garbage in garbage out

Kuuo hushirikishi Mungu
Ukishao na ubahili wako wa kutoa Hela unaanza kunukuu vifungu kibao vya Biblia vya kumsimanga

Na kama ulimlaghai kuwa una Hela kumbe huna akigundua kuwa ulimlaghai baada ya kumuoa utamkoma pesa yake hugusi tapeli mkubwa
 
Kila mtu ashinde mechi zake, mwanamke saka hela zako tumia kivyako mi nasaka zangu natumia kivyangu over!

Kama kuna huduma nahitaji kwa mwanamke namgaharimikia tukimaliza Kila mtu afie mbele
 
Shida kubwa
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa Mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela,yeye kazi yake kutumia..Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia,sio kusubiri kudaka tu.Heshima yako na ndoa itakufa,sikutabilii ila ndio kanuni,hutatoboa,

Kuna Dada namfahamu, amemaliza Chuo,hajawahi tulia akawa na Mchango katika ndoa yake,karibuni analalamika mume wake kamtelekeza na Watoto,lakini Dada ni lifestyle yake ni maisha ya juu,ya kupenda kula na kunywa sehemu nzuri Kwa gharama za Familia. Wanaume hatupendi wadada mizigo,uta survive muda mfupi,unapokaribishwa, ukiwa na Watoto wawili/ watatu hutoboi na tabia hizo.

Tabia za kula Hela za wanaume bila michango kwenye familia waachie Ma slay Queen,ndio kazi na taaluma zao.Dada be productive and add value to your Married.

Gotcha you!

Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa Mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela,yeye kazi yake kutumia..Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia,sio kusubiri kudaka tu.Heshima yako na ndoa itakufa,sikutabilii ila ndio kanuni,hutatoboa,

Kuna Dada namfahamu, amemaliza Chuo,hajawahi tulia akawa na Mchango katika ndoa yake,karibuni analalamika mume wake kamtelekeza na Watoto,lakini Dada ni lifestyle yake ni maisha ya juu,ya kupenda kula na kunywa sehemu nzuri Kwa gharama za Familia. Wanaume hatupendi wadada mizigo,uta survive muda mfupi,unapokaribishwa, ukiwa na Watoto wawili/ watatu hutoboi na tabia hizo.

Tabia za kula Hela za wanaume bila michango kwenye familia waachie Ma slay Queen,ndio kazi na taaluma zao.Dada be productive and add value to your Married.

Gotcha you!
Shida kubwa ni kuwa Wanaume sikuhizi hamtaki kutimiza majukumu yenu. Mwanaume ili manhood yako iendelee kuwepo jitahidini muhudumie wake zenu na watoto, acheni milio. wanawake wakianza kuhudumia tu chochote ndani wanakuwa na mamlaka makubwa sana, hata vitu vingine haviwezi fanyika. Hudumieni familia zenu, wake zenu wanaweza saidia pale atakapoona kweli kunahitajika msaada tofauti na hapo hudumieni jaman
 
Naomba urekebishe hapo mwisho isomeke "in your marriage" sio "to your married".
 
Haujawahi haribu pesa kwa njia hiyo mzee si ndio?
Biashara haina mwenyewe hata mwenyew nishawai haribu pesa hata nae nirahis kuzoea huku ukisimamia mdogo...kama sivyo mtafutie fani mpe mtaji aanze nao
 
Shida kubwa

Shida kubwa ni kuwa Wanaume sikuhizi hamtaki kutimiza majukumu yenu. Mwanaume ili manhood yako iendelee kuwepo jitahidini muhudumie wake zenu na watoto, acheni milio. wanawake wakianza kuhudumia tu chochote ndani wanakuwa na mamlaka makubwa sana, hata vitu vingine haviwezi fanyika. Hudumieni familia zenu, wake zenu wanaweza saidia pale atakapoona kweli kunahitajika msaada tofauti na hapo hudumieni jaman
Neno "mhudumie" unalitumia vibaya sana. Mgonjwa ndie anahudumiwa mwanamke hahudumiwi anatunzwa na kupendwa. Mtumie maneno kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom