Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

Biashara haina mwenyewe hata mwenyew nishawai haribu pesa hata nae nirahis kuzoea huku ukisimamia mdogo...kama sivyo mtafutie fani mpe mtaji aanze nao
Labda hiyo biashara iwe ni ya kwako umeijenga yeye aje kuanza kushika nafasi ya usaidizi chini ya usimamizi wako. Kinyume chake hamna kitu mtafanya.
 
Utakula kwa jasho mpaka utakapoludi mavumbini ulimotwaliwa,

Na mimi nitazaa kwa chungu,akanizishidia uchungu na tamaa yangu itakua kwa mume wangu naye atanitawala.
Uwa mnakoti biblia pale inapofiti kwenye illusions zenu tu.
Biblia hiyo hiyo inasema na mwanamke asiye na bikra auawe kwa kupigwa Mawe unless awe mjane mbona hiyo verse hamuikuoti?.
Unajua nini kuhusu mwanamke wa Mithali?.😁
 
Labda hiyo biashara iwe ni ya kwako umeijenga yeye aje kuanza kushika nafasi ya usaidizi chini ya usimamizi wako. Kinyume chake hamna kitu mtafanya.
utegemea namazingira mnayoishi..usemavyo pia nisawa
 
Back
Top Bottom