chiko
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 590
- 271
na mimi HUYOOOOO AU atakuwa amekata miguu yangu?
Atakuwa ashapata, anachotaka!!!!!!!(Kwani kuna kingineee?)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimi HUYOOOOO AU atakuwa amekata miguu yangu?
Vipi na yule anaevaa viatu bandabundu, hana simu, wala saa?mkanda havai, suruali za kushonesha bado anavaa, na wala hanukii? lakini unajua anafanya kazi nzuri na ana uwezo wa kuvinunua?
huwezi kumpa nafasi huyu then ukaanza kumbadilisha kimoja baada ya kingine?
Kama anayo personality nayotaka na hana vya hapo juu!mimi naangaliaga miguu tu ili kujua kama huyu anafaa au hafai
tehetehe
Vipi na yule anaevaa viatu bandabundu, hana simu, wala saa?mkanda havai, suruali za kushonesha bado anavaa, na wala hanukii? lakini unajua anafanya kazi nzuri na ana uwezo wa kuvinunua?
huwezi kumpa nafasi huyu then ukaanza kumbadilisha kimoja baada ya kingine?
Kama anayo personality nayotaka na hana vya hapo juu!mimi naangaliaga miguu tu ili kujua kama huyu anafaa au hafai
tehetehe
cha kwanza viatu
na mi hivo hivo yani nkiona kiatu kibaya kichafu kinavumbi nahisi na yeye ndo yuko hivohivo moyoni na machoni.....napenda sana mkaka avae kaiatu kizuri na kisafi na sio kilichopindapinda au cahenye vumbivumbi bora uweke chuma basi huku chini....
Sikujua wewe ni mwanamke au ndo mambo ya mku-nazini???:coffee:
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:
Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini
Lastly,harufu yake :coffee:
Katika kusoma soma Blog nimekutana na hili hapa sasa naomba kujua kutoka kwenu hili linaukweli? Aliyefanya utafiti alikuja na majibu haya si mimi naombeni mnifumbue macho ....
''Ni vitu gani ambavyo mwanamke anaviangalia kwanza anapokutana na mwanaume? Je,anaangalia sura? Je,anaangalia tabasamu? Anaangalia au anavutiwa na nini hasa?Hapa najaribu kuzungumzia vitu ambavyo vinaangaliwa kwa mtizamo wa haraka haraka kabla mambo mengine hayajawekwa kwenye mstari kama vile kujua mtizamo wa mtu katika maisha,ndoto alizonazo,imani,anavyojali na kupenda maisha nk.
Miaka takribani miwili iliyopita,niliwahi kuketi katika kundi la wanawake,nikawauliza kwa haraka haraka huwa wanaangalia vitu gani wanapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza iwe ni kazini,katika party,club nk?
Majibu waliyonipa yalikuwa mengi. Lakini miongoni mwa majibu mengi,ilikuwa wazi kabisa kwamba kuna vitu vinne ambavyo wengi miongoni mwa wanawake niliokuwa nao katika genge lile huviangalia ni Saa aliyovaa,mkanda wake(hususani kama unaonekana-maana anaweza kuwa kachomolea),viatu alivyovaa na kisha manukato au anavyonukia(akinuka hiyo ni habari nyingine kabisa)
Kwa namna fulani,naurejesha huu mjadala hapa.Je,wewe kama mwanamke,ukikutana na mwanaume hivi leo,kabla hujamjua zaidi,unaangalia vitu gani?
Majibu yenu yanahitajika hapa ili wanaume wawe wanajua mnapenda nini hasa?
Read more: SAA,MKANDA,VIATU NA MANUKATO-UNAJALI? - BongoCelebrity
Nina saa ya LORUS kama unavyoniona nimevalia fulana tight ya emporio armani jeans ya blue na simple nyeupe nime wear perfume inaitwa Polo blue................
cha kwanza utanashati wake na muonekano.sio uhandsome bali amejiwekaje mwenyewe.
je amevaa kwa kuyatendea haki mazingira sio anaenda beach na suti.
na kuujua unadhifu wake utaona kwenye kiatu,na engerchief ya mkononi. kiatu vumbi na engerchief chafu basi huyo atakua hajijali.
pia maongezi yake yanamata. anapangilia aseme nini na ajibu nini kwenye kitu kipi.:A S 109:
Hili la harufu linahitaji ufafanuzi. Mtu ndiyo mmekutana mara ya kwanza, ninategemea hamtakuwa mmezoeana kiasi cha kukaribiana sana. Au kumpa ishara ya kumtamani inabidi ujipeleke karibu hata kama yeye bado anasita?Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:
Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini
Lastly,harufu yake :coffee:
Hili la harufu linahitaji ufafanuzi. Mtu ndiyo mmekutana mara ya kwanza, ninategemea hamtakuwa mmezoeana kiasi cha kukaribiana sana. Au kumpa ishara ya kumtamani inabidi ujipeleke karibu hata kama yeye bado anasita?
Nina saa ya LORUS kama unavyoniona nimevalia fulana tight ya emporio armani jeans ya blue na simple nyeupe nime wear perfume inaitwa Polo blue................
Simply vitanifanya nikuangalie,kama umevaa hivyo na huna akili ya maisha,limbukeni au unaringia sura na mali za baba yako,hata ungevaa Prada na Mackenza,sikuhitaji.....ila kama alivyosema hivyo ndo vitu at first sight vinakupa picha ya mwanaume,wengi wanavyo tumewaona but hakukuwa na zaidi ya kuwaona na kuwafurahia kwa kuwa hawana sifa nyingine za kuwa nao kwenye mahisiano.
Gudmornn Rose..umesema vizuri.kuna mtu yuko kwenye nyumba ya kupanga,hajalipa umeme,ndani kwake Mungu nsaidie but ana lisim la bei kubwa sana,namuona kama anaeza kuua watoto na njaa someday ili tu ajioneshe.lol!
kwenye miguu unaangalia nini?
Naangalia size ya kiatu tu