Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Mguu unakupa angalizo wa size ya ...... unayotaka. Unkishindwa sana Vidole vya mikono
Mbona wadada mmetokea kupenda sana Viatu? Viatu kweli vinaweza kuwa na mahusianao na mwanaume jinsi alivyo?
 
smelll hasa ya mdomo

mmh hii naona ni kali zaidi, imagine mpo kwenye sherehe mpo meza jirani na jamaa ambaye kwa mara ya kwanza umemuona na unahisi anaweza kuwa anakufaa, sasa hiyo smell ya mdomo utaiaccess muda gani?
 
iwe na mvuto bacha, inivutie kwanza ndo nianze kuangalia vitu vingine

Unanikumbusha enzi zile tupo udsm(mlimani), kuna jamaa alimtokea dada mmoja, huyu dada alimpa jibu moja tu (plain) kuwa jamaa hatambulishiki (he's not presentable), moja ya sababu ni kuwa angepata tabu sana kwa room mate wenzake kumtambulisha jamaa mpaka wamuelewe. Jamaa alirudi room akiwa hana raha kabisa.
Haya yapo yanatokea sana tu na si vyuoni pekee bali hata mitaani pia. Sasa sisi wenye sura kama tunapuliza moto au sura kama mtu amesahau chenchi/balance dukani(unavyostuka), hapo akina dada mtatukubali kweli?ni bora hata hilo la kuangalia viatu linaweza kuokoa wengi!
 
Dah kumbe ndio maana text toka kwa mabinti haziishi........ ahsante kwa kunijuza
 
Katika kusoma soma Blog nimekutana na hili hapa sasa naomba kujua kutoka kwenu hili linaukweli? Aliyefanya utafiti alikuja na majibu haya si mimi naombeni mnifumbue macho ....
''Ni vitu gani ambavyo mwanamke anaviangalia kwanza anapokutana na mwanaume? Je,anaangalia sura? Je,anaangalia tabasamu? Anaangalia au anavutiwa na nini hasa?Hapa najaribu kuzungumzia vitu ambavyo vinaangaliwa kwa mtizamo wa haraka haraka kabla mambo mengine hayajawekwa kwenye mstari kama vile kujua mtizamo wa mtu katika maisha,ndoto alizonazo,imani,anavyojali na kupenda maisha nk.
Miaka takribani miwili iliyopita,niliwahi kuketi katika kundi la wanawake,nikawauliza kwa haraka haraka huwa wanaangalia vitu gani wanapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza iwe ni kazini,katika party,club nk?
Majibu waliyonipa yalikuwa mengi. Lakini miongoni mwa majibu mengi,ilikuwa wazi kabisa kwamba kuna vitu vinne ambavyo wengi miongoni mwa wanawake niliokuwa nao katika “genge” lile huviangalia ni Saa aliyovaa,mkanda wake(hususani kama unaonekana-maana anaweza kuwa kachomolea),viatu alivyovaa na kisha manukato au anavyonukia(akinuka hiyo ni habari nyingine kabisa)
Kwa namna fulani,naurejesha huu mjadala hapa.Je,wewe kama mwanamke,ukikutana na mwanaume hivi leo,kabla hujamjua zaidi,unaangalia vitu gani?

Majibu yenu yanahitajika hapa ili wanaume wawe wanajua mnapenda nini hasa?

Read more: SAA,MKANDA,VIATU NA MANUKATO-UNAJALI? - BongoCelebrity

Kwanza naangalia KIATU ALICHOVAA, MKANDA, PERFUME, mengineyo yafuata
 
Nimegundua kumbe Wanawake wengi huwa wanadanganyika sehemu ndogo sana ndio maana kila siku watu wanafunua na kufunika. kama unaangalia Parfume , Mkanda au kiatu vinasaidia nini hasa zaidi ya kukuweka katika mapenzi ya majuto tu.
Wapo wenye vyote hivyo lakini si wema kabisa ndio kila siku hubadilisha wanawake kama viatu.
 
Nimegundua kumbe Wanawake wengi huwa wanadanganyika sehemu ndogo sana ndio maana kila siku watu wanafunua na kufunika. kama unaangalia Parfume , Mkanda au kiatu vinasaidia nini hasa zaidi ya kukuweka katika mapenzi ya majuto tu.
Wapo wenye vyote hivyo lakini si wema kabisa ndio kila siku hubadilisha wanawake kama viatu.

unanidai thanks iliyokuwa attached na kakiss kadogo dogo.
 
Viatu, manukato, saa!?....Hapa nadhani wanazungumziwa wanawake na wanaume wa mijini zaidi. Kule vijijini viatu tunavaa jpili tu,manukato...huu ni msamiati!
 
hair style mana akinadada wengi siku hizi wanapenda minyoo ya panki za enzi ziiiiiiiiiile za kina rivers of the babylons.
 
yote yatasemwa lakini how many zeros you have in your bank account itabaki milele.
 
Back
Top Bottom