Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Nadhani topik inasema vitu vinavyoangaliwa KWANZA mara nyingi, tukitaka kuendeleza mahusiano, hasa ya mapenzi, basi inabidi umpe nafasi ya kujua je licha ya viatu kuwa vibaya, unakuja gundua kume huyu mtu ni inteligent, charming, reliable, kind, compassionate, nk.
unaweza pia kukuta mtu yuko smart sana (hii nimeona live) msafi, anapresentation ya kumvutia mtu yoyote, ila kumbe ni selfish wa kupindukia, alikuwa hataki huyo mdada aguse vitu vyake eti ataharibu.
Kila kitu ni kwa kiasi, ila kuna watu wanakuwa obssesed na vitu, hawa hawafai kabia, na wengi wao wanakuwa smart sana kimavazi.
Ukiona mwanaume eti hataki hata kiatu kichafuke kidogo, kikichafuka anabadili ratiba, mpaka akisafishe, basi tena huyo si wa kutegemewa.
Kuna wanawake wa aina nyingi, lazima kuna wenye interest nyingine nyingi tu,
 
kwenye miguu unaangalia nini?
 
cha kwanza viatu

na mi hivo hivo yani nkiona kiatu kibaya kichafu kinavumbi nahisi na yeye ndo yuko hivohivo moyoni na machoni.....napenda sana mkaka avae kaiatu kizuri na kisafi na sio kilichopindapinda au cahenye vumbivumbi bora uweke chuma basi huku chini....
 
mmmmh, viatu tena...........lol.
 
Bado tu hii thread haijafanyiwa majumuisho?
 
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:

Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini

Lastly,harufu yake :coffee:

Nina saa ya LORUS kama unavyoniona nimevalia fulana tight ya emporio armani jeans ya blue na simple nyeupe nime wear perfume inaitwa Polo blue................
 
cha kwanza utanashati wake na muonekano.sio uhandsome bali amejiwekaje mwenyewe.
je amevaa kwa kuyatendea haki mazingira sio anaenda beach na suti.

na kuujua unadhifu wake utaona kwenye kiatu,na engerchief ya mkononi. kiatu vumbi na engerchief chafu basi huyo atakua hajijali.
pia maongezi yake yanamata. anapangilia aseme nini na ajibu nini kwenye kitu kipi.:A S 109:
 
Nina saa ya LORUS kama unavyoniona nimevalia fulana tight ya emporio armani jeans ya blue na simple nyeupe nime wear perfume inaitwa Polo blue................

Hayo yote uliyotaja hapo Mohammed,
mimi sina ndugu yangu,
wala siyajui kabisa, sasa sijui kama wakina dada watanipenda kwa style hii!!!
 
huyu nae viatu, mmmh viatu hivi..........lol...!!!!!!
 
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:

Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini

Lastly,harufu yake :coffee:
Hili la harufu linahitaji ufafanuzi. Mtu ndiyo mmekutana mara ya kwanza, ninategemea hamtakuwa mmezoeana kiasi cha kukaribiana sana. Au kumpa ishara ya kumtamani inabidi ujipeleke karibu hata kama yeye bado anasita?
 
Harufu ya mtu unaipata hata akipita sembuse huyo ambaye ana nipa attention nami namuangalia na pengine tunapeana hi......:coffee:
 
Nina saa ya LORUS kama unavyoniona nimevalia fulana tight ya emporio armani jeans ya blue na simple nyeupe nime wear perfume inaitwa Polo blue................

Simply vitanifanya nikuangalie,kama umevaa hivyo na huna akili ya maisha,limbukeni au unaringia sura na mali za baba yako,hata ungevaa Prada na Mackenza,sikuhitaji.....ila kama alivyosema hivyo ndo vitu at first sight vinakupa picha ya mwanaume,wengi wanavyo tumewaona but hakukuwa na zaidi ya kuwaona na kuwafurahia kwa kuwa hawana sifa nyingine za kuwa nao kwenye mahisiano.
 
Michelle, naona unajaribu kujikanyaga katika kupasua jipu. Sema kile unachokifikiria rohoni mwako kuwa ndicho cha kwanza,2,3,4!!
 
Gudmornn Rose..umesema vizuri.kuna mtu yuko kwenye nyumba ya kupanga,hajalipa umeme,ndani kwake Mungu nsaidie but ana lisim la bei kubwa sana,namuona kama anaeza kuua watoto na njaa someday ili tu ajioneshe.lol!

Wengine wenye simu bei mbaya wananunua za wizi kwa bei poa! Kuweni macho.
 
Mbona wadada mmetokea kupenda sana Viatu? Viatu kweli vinaweza kuwa na mahusianao na mwanaume jinsi alivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…