Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Wewe si unamke wewe na watoto 4 nje ya ndoa .
Na umezaa na mke wa mtu lkn still.
Unaangaika na uzinzi .
Sham on you.
 
Shida aliogopa wewe Ni nusu albino😂😂, morning bro🤒
 
Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?

Angalizo.
Usipende kushika/kuonyesha simu yako Kwa mdada unaejua kuwa utamuomba number 😀mbinu nyingine ya kivita hii nimekukumbusha
Yaani🤣🤣🤣🤣, wata isoma namba.
👉Kibaya member aje akuombe namba, mtoa mafunzo Chakorii
 
Wanawake Mara nyingi wanakuwaga na kisebu sebu, Yaani anakuwa Kama amekataa na muda mwingine anakuwa Kama amekubali.

Huwa wanazuga kukukataa ili kupima imani yako hivi ulikuwa serious ama ulikuwa unatania tu.Ukikaza vizuri mbona anaachia mzigo kiulani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…