Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Wewe si unamke wewe na watoto 4 nje ya ndoa .Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.
Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.
Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.
Kwa leo ni hayo tu.
Na umezaa na mke wa mtu lkn still.
Unaangaika na uzinzi .
Sham on you.