Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.

Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.

Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.

Kwa leo ni hayo tu.​
Wewe si unamke wewe na watoto 4 nje ya ndoa .
Na umezaa na mke wa mtu lkn still.
Unaangaika na uzinzi .
Sham on you.
 
Wengine hata utengeneze kibanda bado hawatoi, ni sawa kwao wapo sahihi lakini nyodo sio.

Kuna dada nilikutana nae kwenye daladala tukaongea tukachangamkiana zaidi ya dakika 30 utadhani tulikuwa tunafahamiana. Nilipomuomba namba aliniambia kwa leo hapana nitakupa next time, nikarudia tena na tena jibu likawa lile lile, nilipendezwa nae sana na kuanzia ile siku sijawahi muona. Alinikataa kistaarabu mno adi nikapenda.
Shida aliogopa wewe Ni nusu albino😂😂, morning bro🤒
 
Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?

Angalizo.
Usipende kushika/kuonyesha simu yako Kwa mdada unaejua kuwa utamuomba number 😀mbinu nyingine ya kivita hii nimekukumbusha
Yaani🤣🤣🤣🤣, wata isoma namba.
👉Kibaya member aje akuombe namba, mtoa mafunzo Chakorii
 
Wanawake Mara nyingi wanakuwaga na kisebu sebu, Yaani anakuwa Kama amekataa na muda mwingine anakuwa Kama amekubali.

Huwa wanazuga kukukataa ili kupima imani yako hivi ulikuwa serious ama ulikuwa unatania tu.Ukikaza vizuri mbona anaachia mzigo kiulani tu.
 
Back
Top Bottom