Hapa ndipo tunpofeli wanaume kwanini ujiweke upande wa mwanamke, ushawai kuona wanawake wame imgine kujiweka upande wa wanaume hili kuona changamoto zetuEbu subiri kwanza,kwamfano wewe ni pisi kali halafu kila mwanaume unayekutana naye anaomba namba je utawapa wote?mwanamke kama binadamu wengine naye ana choices zake.
N:b.Sisupport mwanamke kuwa wakali ama kuleta nyodo pindi waombwapo namba.
Ngoja nikilewa, Nita kuombaπ€£πππKwamba unaijua ipi hiyoππ
Mbona mi si mchoyo wa kutoa number ?
What's up broHapa ndipo tunpofeli wanaume kwanini ujiweke upande wa mwanamke, ushawai kuona wanawake wame imgine kujiweka upande wa wanaume hili kuona changamoto zetu
SaWaSawaNdio alafu akishajaa namwambia sasa nyodo zilikuwa zanini?
Tufunge mjadala πππNieleweshe ndio maana halisi ya kuwa great thinker
Imeisha hiyoππNgoja nikilewa, Nita kuombaπ€£πππ
Hapana nieleweshe kwanza.Tufunge mjadala πππ
Haya π₯Hapana nieleweshe kwanza.
Nasubiria maelekezoHaya π₯
Warembo hawana hizo hawa wenzangu na me wenye sura kama limaoDunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.
Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.
Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.
Kwa leo ni hayo tu.
Am cool bro coz this AC super cooler this timeWhat's up bro
Ac ume nipoteza happoππ€£π€Am cool bro coz this AC super cooler this time
Air Condition πAc ume nipoteza happoππ€£π€