Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Ebu subiri kwanza,kwamfano wewe ni pisi kali halafu kila mwanaume unayekutana naye anaomba namba je utawapa wote?mwanamke kama binadamu wengine naye ana choices zake.

N:b.Sisupport mwanamke kuwa wakali ama kuleta nyodo pindi waombwapo namba.
Hapa ndipo tunpofeli wanaume kwanini ujiweke upande wa mwanamke, ushawai kuona wanawake wame imgine kujiweka upande wa wanaume hili kuona changamoto zetu
 
Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.

Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.

Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.

Kwa leo ni hayo tu.​
Warembo hawana hizo hawa wenzangu na me wenye sura kama limao
 
Back
Top Bottom