Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Hapa ndipo tunpofeli wanaume kwanini ujiweke upande wa mwanamke, ushawai kuona wanawake wame imgine kujiweka upande wa wanaume hili kuona changamoto zetuEbu subiri kwanza,kwamfano wewe ni pisi kali halafu kila mwanaume unayekutana naye anaomba namba je utawapa wote?mwanamke kama binadamu wengine naye ana choices zake.
N:b.Sisupport mwanamke kuwa wakali ama kuleta nyodo pindi waombwapo namba.