Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Sijui kwanini ila hili swali nishaulizwa na wanawake zaidi ya wanne nahisi kuna mwingine atauliza. So nitajibu in advance.

Swali lenyewe ni "Mkisimamisha hua ni kwavile mnataka ngono?"

Jibu ni "Hapana. Kusimamisha kwa sisi wanaume siyo lazima kumaanisha tunataka ngono mfano naweza nikawa kwenye daladala ghafla nikasimamisha, au nikaamka huku nimesimamisha. Sometime nakua sina kazi nimejilaza kitandani na uume wangu utasimama ni kama unaniambia 'Uko lonely hebu cheza na mimi' so jibu lake ni hilo. Kusimamisha haimaanishi nataka ngono"
Basi tumetofautiana mkuu.. Wazee Morning Glory wananielewa namaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
[emoji23][emoji23] ukiwa unaitaji tena tendo
 
Back
Top Bottom