Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Basi tumetofautiana mkuu.. Wazee Morning Glory wananielewa namaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
[emoji23][emoji23] ukiwa unaitaji tena tendo
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Namba 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…