Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Unakuwa umeangukia mikonon mwa aina hiyo ya wanawake
 
Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu

sijui nimeeleweka ?
Na Id yako mkuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sawa mkuu 😆

Kwahiyo we mkeo hakufanyii massage? Maana ukifanyiwa massage lazima kwenye trakoo afike (ukilala kifudifudi massage ya mgongo
Mi mke wangu akinifanyia massage huwa namwambia asimimine mafuta ila ajipake mkononi kidogo kidogo ndipo anipake, maana kuna maeneo akimimina mafuta na jinsi yanvyotiririka noma sana 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂
 
Taratibu Sasa......
 
Sijajua kwa wengine Ila nijuavyo Mimi

Wanawake wengi huanza kuwapenda Ile deep mwanaume baada yakulala nae
Wakati mwanaume (aliekutamani tu) anaanza kukupuuza baada yakulala na wewe
Na hapa ndipo utofaut unapoanzia
Na haya yoote kutokea but

For gentlemen like kelphin kepph
Tunaamini sex Ni commitment ya kihisia kwa mpenzi wako
So from that point ndio ukurasa mpya wa mahusiano huanza,sababu ntakua nakujua na unanijua pia
That's is.
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Inategemea kwamba ni sweetie kweli au la. Coz kunawengine unamwambia tu lkn sio ukweli..
Ila kama ni m-sweetie kweli namwambia wakati wa tendo na baada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…