Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wa Taharamu wa Wambo wanasema kunyonya nyonyo za Mwanamke,
Inasaidia Kuondo Stress na Kuufanya Ubongo na Akilii Kuwa na Maelewano na kichwa cha Chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
MBONA AMUULIZI KWA NINI WANAUME TUNA MAPUMBU MAWILI NA SIO MOJA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijui Hilo kupumua ka nyau labda inategemea mtu na mtu
Wewe unapumua kama nani Dada emu nipe Siri nicheke [emoji2][emoji2]
 
Mbona ni kimya na maswali yamepungua! Vipi mmeishiwa maswali??
HoneyBee
cariha
Joanah

Sawa, let me think outside the box...

Kwa miujiza fulani ungekuwa umezaliwa mwanamke ambae ana super power ya kuona mawazo na mioyo ya wanaume wote unaokutana nao , yaani long term plan zao na wewe, unafikiri ungechagua kuwa lipi:

A) happily married
B) single mama
C) happily single

(Msiongeze D... Kuharibu research)

Feel free kufafanua chaguo lako.

Tag wanaume wenzenu ili tupate sampo nzuri, go! ✔️❎
 
Mkuu mimi Sijasoma unaweza kunieleza kwa nini samahn lkn mkuu
Sawa sababu umeuliza vizuri:

Mimba ikitungwa, kitoto tumbonj genetics zake zinakuwa either XX (female) au XY (male) lakini wote wanakuwa na maungo ya kike ( taarifa yenu wote mnaodharau wanawake, mlikuwa na maungo ya kike once upon a time).

Baada ya wiki kadhaa zile genetics zitaamua kama mtoto atakuwa wa kike au wa kiume. Ikiamuliwa atakuwa wa kiume basi mwili unaanza kutengeneza testosterone na hiyo hormone Ni inafanya viungo vya kike , yaani testes (mapumbu) yenu mawili Ni Sawa na mayai yetu mawili.
Of course Kuna hitilafu inaweza ikatokea ndo maana Kuna wato wako intersex wanazaliwa na muonekano wa jinsia moja huku viungo Ni jinsia nyingine.



Naweza nikaongeza kuwa mapumbu yananing'inia nje ya mwili sababu mbegu zenu zinakufa kwenye hali ya joto. Mwili joto lake la kawaida Ni kama 36 C degrees , joto mno mbegu zenu zingekufa. Ndo maana mnaambiwa msikalishe laptop kwenye mapaja mtaua sperm.

Nafikiri nimeeleweka.
 
Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu

sijui nimeeleweka ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]nyei wetu sio watu kabisa
 
Hasante sana mkuu nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…