Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Wa Taharamu wa Wambo wanasema kunyonya nyonyo za Mwanamke,
Inasaidia Kuondo Stress na Kuufanya Ubongo na Akilii Kuwa na Maelewano na kichwa cha Chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliza ujibiweAu Mimi nikuulize wewe [emoji2]
Maswali yakija kichwani nitauliza
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijui Hilo kupumua ka nyau labda inategemea mtu na mtuEt kwa nini Mkimaliza Kufanya mapenzi Mnapumua Kama Nyau ..??[emoji2][emoji2][emoji2]
Tena naomba uniulize mimi!Maswali yakija kichwani nitauliza
Kama umesoma biology huwezi uliza hilo swali.MBONA AMUULIZI KWA NINI WANAUME TUNA MAPUMBU MAWILI NA SIO MOJA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa sababu umeuliza vizuri:Mkuu mimi Sijasoma unaweza kunieleza kwa nini samahn lkn mkuu
nawasi wasi na wewe...Hamna raha yoyote ila tu napenda nikutanie just in case nikikuta hujayapaka mafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]nyei wetu sio watu kabisaIla akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu
sijui nimeeleweka ?
Sawa sababu umeuliza vizuri:
Mimba ikitungwa, kitoto tumbonj genetics zake zinakuwa either XX (female) au XY (male) lakini wote wanakuwa na maungo ya kike ( taarifa yenu wote mnaodharau wanawake, mlikuwa na maungo ya kike once upon a time).
Baada ya wiki kadhaa zile genetics zitaamua kama mtoto atakuwa wa kike au wa kiume. Ikiamuliwa atakuwa wa kiume basi mwili unaanza kutengeneza testosterone na hiyo hormone Ni inafanya viungo vya kike , yaani testes (mapumbu) yenu mawili Ni Sawa na mayai yetu mawili.
Of course Kuna hitilafu inaweza ikatokea ndo maana Kuna wato wako intersex wanazaliwa na muonekano wa jinsia moja huku viungo Ni jinsia nyingine.
Naweza nikaongeza kuwa mapumbu yananing'inia nje ya mwili sababu mbegu zenu zinakufa kwenye hali ya joto. Mwili joto lake la kawaida Ni kama 36 C degrees , joto mno mbegu zenu zingekufa. Ndo maana mnaambiwa msikalishe laptop kwenye mapaja mtaua sperm.
Nafikiri nimeeleweka.