Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Sijui kwanini ila hili swali nishaulizwa na wanawake zaidi ya wanne nahisi kuna mwingine atauliza. So nitajibu in advance.

Swali lenyewe ni "Mkisimamisha hua ni kwavile mnataka ngono?"

Jibu ni "Hapana. Kusimamisha kwa sisi wanaume siyo lazima kumaanisha tunataka ngono mfano naweza nikawa kwenye daladala ghafla nikasimamisha, au nikaamka huku nimesimamisha. Sometime nakua sina kazi nimejilaza kitandani na uume wangu utasimama ni kama unaniambia 'Uko lonely hebu cheza na mimi' so jibu lake ni hilo. Kusimamisha haimaanishi nataka ngono"
 
Kwa hiyo kusimamisha ni kuamua tu .
 
Hahaha this one hits home.

Most of us hatupo comfortable with our sexuality, tunadhani kushikwa tako kutacompromise na uanaume wetu.

Haya ni matunda ya makuzi yetu ya mfumo dume.
Nakazia msumari apa.
 
Back
Top Bottom