Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu

sijui nimeeleweka ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa, let me think outside the box...

Kwa miujiza fulani ungekuwa umezaliwa mwanamke ambae ana super power ya kuona mawazo na mioyo ya wanaume wote unaokutana nao , yaani long term plan zao na wewe, unafikiri ungechagua kuwa lipi:

A) happily married
B) single mama
C) happily single

(Msiongeze D... Kuharibu research)

Feel free kufafanua chaguo lako.

Tag wanaume wenzenu ili tupate sampo nzuri, go! [emoji3581][emoji735]
Siwezi kuzaliwa mwanamke, hata kwenye mfano haiwezekani.
 
Well ulivyosema mtu yeyote aliesoma biology anaweza jibu swali nilikuwa nasubiri jibu nisome nielewe

No offence sister ila nadhani umejibu tofauti na kilichoulizwa
Sawa sababu umeuliza vizuri:

Mimba ikitungwa, kitoto tumbonj genetics zake zinakuwa either XX (female) au XY (male) lakini wote wanakuwa na maungo ya kike ( taarifa yenu wote mnaodharau wanawake, mlikuwa na maungo ya kike once upon a time).

Baada ya wiki kadhaa zile genetics zitaamua kama mtoto atakuwa wa kike au wa kiume. Ikiamuliwa atakuwa wa kiume basi mwili unaanza kutengeneza testosterone na hiyo hormone Ni inafanya viungo vya kike , yaani testes (mapumbu) yenu mawili Ni Sawa na mayai yetu mawili.
Of course Kuna hitilafu inaweza ikatokea ndo maana Kuna wato wako intersex wanazaliwa na muonekano wa jinsia moja huku viungo Ni jinsia nyingine.

Naweza nikaongeza kuwa mapumbu yananing'inia nje ya mwili sababu mbegu zenu zinakufa kwenye hali ya joto. Mwili joto lake la kawaida Ni kama 36 C degrees , joto mno mbegu zenu zingekufa. Ndo maana mnaambiwa msikalishe laptop kwenye mapaja mtaua sperm.

Nafikiri nimeeleweka.
Iko hivi nikiwa kama mwanaume ninaeifahamu anatomy yangu vizuri tuna pumbu mbili kwa sababu zifuatazo

testis hutoa manii. Ndio ni kweli mtu anaweza kusimamia na testicles moja na akazilisha pia lakini wingi pia ni muhimu na ubora wa shahawa huamua ikiwa mtu anaweza kuwa baba au la.

Ikiwa kutakuwa na kipimo kimoja tu nafasi za kupata manii yako na yai zitapunguza hadi 50% kwani kiwango cha shahawa ambacho ungezaa kingekuwa nusu ikilinganishwa na wakati utapata mbili!

Pia naweza ni kasema ni kama uwepo mbili tuseme ni kama defense mechanism Fulani vile au tuseme moja ita act ya ziada endapo moja itafeli ktk shughuli na kazi mbalimbali japo sio kiufanisi

Mtu anaweza pia kuichukulia kama chaguo la chelezo /ziada. fikiria ikiwa mtu amepoteza moja ya testicles yake kutokana na ajali fulani basi angeweza kupata fursa ya kuwa baba

Hili swali ni sawa na mtu aulize kwa nini tuna figo mbili ?

Ni hayo tu asante
 
Ni sawa kwa mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzie mambo? Tena ile mambo ya kuvuta[emoji23]

Unaweza kwenda kukaa kwa girlfriend wako ilihali you have your place?

Sent using Jamii Forums mobile app
1. si sawa kwa mwanaum mwenzangu kunisalmia , (mambo), na hata text ikiingia kutoka namb ngeni, najua kabisa atkuwa mwanamke.

2. Inatgmea nko nae vip huyo mwanamke ila mara nyingi tnaendag kumsalmia 2[emoji2957] au kukaa kwa muda mfupi, kiufupi ni kwamb wawez kaa ata cku mbil hiv...Ila si kukaa kabisa, hiyo haipo...ni mara chache sana kukuta hivyo.
 
Kwanini hampendi kushikwa makalio?

Weye dada una laana, itakua ni katika wahuni wa Dar tu, mana ndio tabia zao.

hivi kuna faida gani munayopata kupenda kuwabashia wanaume?
 
One can argue kuwa wanawake ndo walitakiwa kuwa polygamous pia by nature tuna miaka mifupi ya kuzaa ukilinganisha na mwanamme. Nikibeba mimba Ni moja tu Kwa mwaka lakini wanaume mnaweza mkajaza mimba anytime.

Mwanamke anatakiwa achague quality , my time and eggs are precious. Sasa wewe umeniweka ndani halafu you're not a quality man, huna mbegu nzuri, kwanini nisikutafutie msaidizi? [emoji966]
Hapo uko sahihi. Nimetumika sana na wanawake wengi kwa ajili ya mbegu quality, naona tu wanangu wakitoka out na walezi.
Dah inaniuma sana sana tu
 
Mkuu mimi Sijasoma unaweza kunieleza kwa nini samahn lkn mkuu
ni utaratibu tuu kama kunya ukiwa umechuchumaa haimaanishi ukiwa umesimama hayatoki.
ni defense mechanism tuu likifa moja lingine lifanye kazi.
 
Sawa sababu umeuliza vizuri:

Mimba ikitungwa, kitoto tumbonj genetics zake zinakuwa either XX (female) au XY (male) lakini wote wanakuwa na maungo ya kike ( taarifa yenu wote mnaodharau wanawake, mlikuwa na maungo ya kike once upon a time).

Baada ya wiki kadhaa zile genetics zitaamua kama mtoto atakuwa wa kike au wa kiume. Ikiamuliwa atakuwa wa kiume basi mwili unaanza kutengeneza testosterone na hiyo hormone Ni inafanya viungo vya kike , yaani testes (mapumbu) yenu mawili Ni Sawa na mayai yetu mawili.
Of course Kuna hitilafu inaweza ikatokea ndo maana Kuna wato wako intersex wanazaliwa na muonekano wa jinsia moja huku viungo Ni jinsia nyingine.

Naweza nikaongeza kuwa mapumbu yananing'inia nje ya mwili sababu mbegu zenu zinakufa kwenye hali ya joto. Mwili joto lake la kawaida Ni kama 36 C degrees , joto mno mbegu zenu zingekufa. Ndo maana mnaambiwa msikalishe laptop kwenye mapaja mtaua sperm.

Nafikiri nimeeleweka.
hapa umeenda OP
 
Ni maumivu gani makali ambayo huwa mnayapata na hamtaki kitu kilichosababisha hayo maumivu kirudie?

Tofauti na wanawake, wanazaa kwa uchungu ila utakuta mwanamke anarudia kuzaa watoto hata 4
Kujua/ kigundua dem/mke ananyanduliwa na msela/masela.
 
Weye dada una laana, itakua ni katika wahuni wa Dar tu, mana ndio tabia zao.

hivi kuna faida gani munayopata kupenda kuwabashia wanaume?
Dar? Bob mbona hata Dar sipajui 😂
 
ni utaratibu tuu kama kunya ukiwa umechuchumaa haimaanishi ukiwa umesimama hayatoki.
ni defense mechanism tuu likifa moja lingine lifanye kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sijaelewa emu anza Upya
 
Back
Top Bottom