Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubii we yako ya sh ngp? [emoji12]
Anataka kukununuliaItakusaidia nini kwenye uchumi wako binafsi nafamilia yako?
Anataka kukununulia
Leo mbona umekuea mkali snAkamnunulie Shangazi yake
Dah jaman kuvaa chupi nzuri lazima uwe na hela ama uhudumiwe upewe hela??Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Leo mbona umekuea mkali sn
bandiko limekugusa.😂nimecheka sana..!
Hata kufuri sivai.bandiko limekugusa.
Zimvutie nani wakati zinabidi kufichwaHabari,
Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.
Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.
Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?
Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.
Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!
Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.
Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.
EeehHabari,