Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Mkuu tabia yko sio nzuri maana Source ya Habari yako ni Chabo ulikuwa unaifanya kumbuka wewe ukiwachungulia Dada, Shangazi na Mama wa Wenzio na wako nao wanachunguliwa
 
SIKU NILIPOKOMA UZINZI

Niliingia na demu flan iv gest ,wakuu nilikutana na chupi hioo......, kaniki sio kaniki, dela sio dela, makirikiri sio makirikiri, Dushe nililala fasta ndo nikajua kweli mwili una hisia, Nilizuga naenda Kununua Salama so ikabd niache viatu vyangu, nilishtukia nje nimevaa kandambili badili, nilivyofka reception nikawaambia jmn chukuen buku ya kandambili zenu hizi, mm Uzinzi basi walicheka sana wale wadada, nikakodi boda boda akaniuliza broo unaelekea wap sasa? mana aliona mguuni alikua anajifcha kucheka asijekujiharibia kaz, nikamwambia wewe twende tuu popote, Asivyo na huruma akaenda kuniacha stend na mm akili si haikua vzr nikakubali, Nilikua nimeuramba Mkanda nje full kupendeza, Ilikua aibu kinyamaa kwa ufupi ubrazamen uliisha ghafla nikajitia sijali chochote ili kdg kupunguza tension kwa watu, kufika home ili kukwepa aibu kwa masister na wazazi niliruka ukuta nikapitia dirishani ule usiku siku lala.
Ha ha haaaa hii story yako really made my day[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
h
Nikikutana na yale ma-tight yao yale yanakua marefu mpaka yanakaribia magoti hakika nitacheza kama game ya kirafiki au ikibidi nasogeza pambano mbele.
hahhhhhhha nacheka balaaa unakutana na litight jekunduuu au purple kha,mmchupi huooo pyeeee,binafs najikubali
 
Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???


Hapo sasa! Wasione ni vizuri... vimegharamikiwa!!
 
a235998aaa8bf08614ca99eb37e65b88.jpg

haina utukufu aka mvuto
 
mkeo/demu wako akiwa msafi inatosha,huko kwingine ulitumwa uende? ukome,na unapata wa kufanana na wewe...si ajabu hata saa hii unanusa kiboksa chako ili ukivae siku ya tano...[emoji41]
Mependa sana comment yako kula [emoji113]
 
Binti anayejitambua mara zote akiwa anaenda kwenye tendo hujiswafi kuanzia mwili, kinywa, mavazi, chupi, maumbile ya ndani. Yani hata kumlamba unyayo huoni shida. Asiyejitambua ndio huyo anakuja na mavitu ya ovyo ovyo

Vladimir Lenin aliwahi kusema "Show me your friends and I will tell you what you are".

Pia nahisi mabinti hua wanaangalia nani wanaenda kumpa game, kama ni mtu wa maana basi atafanya kujiswafi ipasavyo, lkn kama ni mtu wa hapa na pale basi atakuletea ikiwa kama kiporo.

Hapa umeongea ukweli kabisa aiseeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
hahahaha unacheka tena hawa wanakaliaga kutusemasema lakini maboxer yao yananuka kupita kiwango juzi kati nimekaa na mkaka siti moja almanusura nitapike ananuka boxer sox na ukimuona ni bonge la brother men hahaha nilichefukwa karibu nimwambie aisee

lakini wao kuta kucha ni kutusakama msiuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom