Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheeeeeeeee haya majibu yanaumaaaa.Binti anayejitambua mara zote akiwa anaenda kwenye tendo hujiswafi kuanzia mwili, kinywa, mavazi, chupi, maumbile ya ndani. Yani hata kumlamba unyayo huoni shida. Asiyejitambua ndio huyo anakuja na mavitu ya ovyo ovyo
Vladimir Lenin aliwahi kusema "Show me your friends and I will tell you what you are".
Pia nahisi mabinti hua wanaangalia nani wanaenda kumpa game, kama ni mtu wa maana basi atafanya kujiswafi ipasavyo, lkn kama ni mtu wa hapa na pale basi atakuletea ikiwa kama kiporo.
Hahahahahaaaaaaaa eti KabokaHabari,
Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.
Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.
Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?
Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.
Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!
Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.
Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.
Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
fresh sanaSii kosa, hata mm n manzi angu havaagi hzo mambo ila fresh tuu
poa poaVaa usiwaze pia kutokuvaa siyo kosa
Hahaha mi nashangaa hii ni jukwaa la mapenzi na mada pia ni ya mapenzi alafu mtu anareply kwa ukaali . mtihani ndo mtihani namaanisha ni future yako lakini sio lazima ujibu kila swali, mengine unatemananayo na bado unafaulu tu. Kwa hiyo kama hauna mood nzuri au huna cha kujibu unapotezea jamani .Mkuu dume la kenge, umemjubu vzr, kama anataka issues za ujenzi wa reli aende jukwaa la uchumi
Unazopenda wewe ninunulie ntavaa.Unavaa za aina gani nkununulie
Hutaki kuniambia ww unapendelea zipi?Unazopenda wewe ninunulie ntavaa.
Bora usimle, ili aende akaliwe na kimburuUkimchunguza sana bata hutamla jamaa yangu.
SiweziToa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Napenda zile zenye kikamba nipumuegeHutaki kuniambia ww unapendelea zipi?
Umeliamsha dude tayari....twende cassandra ukachukueNapenda zile zenye kikamba nipumuege
Nikukute wapi sasa, sinza au posta?Umeliamsha dude tayari....twende cassandra ukachukue
Kwangu sinza....unajua duka la sinza lilipo?!Nikukute wapi sasa, sinza au posta?