the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
mbona uzi hauna kapicha?...maelezo yaambatane na picha watu wafaidi ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww manka ww!!Vile vikamba vinakera bora kutokuvaa
Mkuu yani umenichekesha ya hela yoteKuna wengine wanavaaga vijins vimekatwa na kisu ukikisimamisha dede kinasimama
Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Mnunulie aina ya chupi unazopenda mpelekee...kama utamuona tena na pampers zake. Na siku nyingine akienda kununua atanunua aina uipendayo. Simple!Binafsi nachukia nnapomuona binti mrembo kavaa chupi ya kizee imefunika tako lote kama pempas
Zile ndio nzuri mkuu zinamvutoVile vikamba vinakera bora kutokuvaa
Mnunulie aina ya chupi unazopenda mpelekee...kama utamuona tena na pampers zake. Na siku nyingine akienda kununua atanunua aina uipendayo. Simple!
Tayari mkuu anavipiga siku hizi first time mnapo meet ndo naonaga hizo ishu za kizeeMnunulie aina ya chupi unazopenda mpelekee...kama utamuona tena na pampers zake. Na siku nyingine akienda kununua atanunua aina uipendayo. Simple!
MtajeHahahahaha najaribu kupata picha ya chupi ya mtu fulani humu
Dyu chup ya laki inavaliwa ndan labda iwe bitchToa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Mnunulie aina ya chupi unazopenda mpelekee...kama utamuona tena na pampers zake. Na siku nyingine akienda kununua atanunua aina uipendayo. Simple!
hahaaaaaaa napita tu mie khaa..
Safi sana.Tayari mkuu anavipiga siku hizi first time mnapo meet ndo naonaga hizo ishu za kizee
Sio lazima. Ujue chupi chafu ni chafu tu. Hujawahi kuona chupi nyeusi imebadilika kuwa hudhurungi?![]()
Chupi nyeupe ndio kipimo cha usafi. Wazazi fundisheni binti zenu. Akina dada muwe na pea mingi za hizi makitu
Vaa usiwaze pia kutokuvaa siyo kosabora me sivai chupi.. kwani nalo ni kosa?