Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

SIKU NILIPOKOMA UZINZI

Niliingia na demu flan iv gest ,wakuu nilikutana na chupi hioo......, kaniki sio kaniki, dela sio dela, makirikiri sio makirikiri, Dushe nililala fasta ndo nikajua kweli mwili una hisia, Nilizuga naenda Kununua Salama so ikabd niache viatu vyangu, nilishtukia nje nimevaa kandambili badili, nilivyofka reception nikawaambia jmn chukuen buku ya kandambili zenu hizi, mm Uzinzi basi walicheka sana wale wadada, nikakodi boda boda akaniuliza broo unaelekea wap sasa mana aliona mguuni alikua anajifcha kucheka asijekujiharibia kaz, nikamwambia wewe twende tuu popote, Asivyo na huruma akaenda kuniacha stend na mm akili si haikua vzr nikakubali, Nilikua nimeuramba Mkanda nje full kupendeza, Ilikua aibu kinyamaa kwa ufupi ubrazamen uliisha ghafla nikajitia sijali chochote. kufika home ili kukwepa aibu kwa masiter na wazazi niliruka ukuta nikapitia dirishani ule usiku siku lala.
Mwili huwa na hisia kamanda mm kuna raia ilitokea tu kumpenda basi nikiwa nae karibu kuna ka smell kanamtoka basi hata Ule mzuka wa kumtongoza wote unaisha
 
Ha ha haaaaaaaaa! Huyo utakuwa ulipata mke au mtoto wa mganga wa kienyeji... Ungejifanya mjanja angegeuka kobe[emoji1] [emoji1]
Binafsi nikiulizwa kitu gan cha ajabu ulishawah kukutana nacho maishan mwako , kile ndo cha kwanza.
 
Ukimchunguza sana bata hutamla jamaa yangu.
 
Mwili huwa na hisia kamanda mm kuna raia ilitokea tu kumpenda basi nikiwa nae karibu kuna ka smell kanamtoka basi hata Ule mzuka wa kumtongoza wote unaisha
yaaaps hili nimelishuhudia yaan dushe lingebaki likiwa limesimama vile vile hata mm ningelishangaa
 
Well said brother!

Wadada wa siku hizi ni Nouma sana. Utakuta nje kavaa nguo za bei kubwa ila ndani kavaa chupi ya mia tano.

Kwanini mnakuwa hivyo?
 
Tatizo unatembea na manzi wa ajabu ajabu. .Mi sijawahi kutana na hizo kero binafsi.
 
Binti anayejitambua mara zote akiwa anaenda kwenye tendo hujiswafi kuanzia mwili, kinywa, mavazi, chupi, maumbile ya ndani. Yani hata kumlamba unyayo huoni shida. Asiyejitambua ndio huyo anakuja na mavitu ya ovyo ovyo

Vladimir Lenin aliwahi kusema "Show me your friends and I will tell you what you are".

Pia nahisi mabinti hua wanaangalia nani wanaenda kumpa game, kama ni mtu wa maana basi atafanya kujiswafi ipasavyo, lkn kama ni mtu wa hapa na pale basi atakuletea ikiwa kama kiporo.
[emoji31] [emoji31] [emoji31] hihihiiiiii.....
 
Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Usafi ni tabia mdada, wala co pesa!
 
Kuvaa chupi nzuri ni raha sana... Ata kwenye kale kamchezo unajikegeza tu uvuliwe chupi huku mwanaume anaisifia chupi ilivyo na mvuto!!! [emoji6][emoji6][emoji6]
Tena mm nikikuvua ka-kyupi huwa nakapitisha puani nipate kiharufu flan hivi amaizing....napandwa mashetwan balaah[emoji39] [emoji12]
 
Binti anayejitambua mara zote akiwa anaenda kwenye tendo hujiswafi kuanzia mwili, kinywa, mavazi, chupi, maumbile ya ndani. Yani hata kumlamba unyayo huoni shida. Asiyejitambua ndio huyo anakuja na mavitu ya ovyo ovyo

Vladimir Lenin aliwahi kusema "Show me your friends and I will tell you what you are".

Pia nahisi mabinti hua wanaangalia nani wanaenda kumpa game, kama ni mtu wa maana basi atafanya kujiswafi ipasavyo, lkn kama ni mtu wa hapa na pale basi atakuletea ikiwa kama kiporo.
Kwahiyo unamaanisha mtoa mada nae nikiporo hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] makubwaaa madogo yana wenyewe

#teamsingle#
 
Kuna wadada wengine nao chenga tu, unakuta mdada amevaa suruali nyepesi ya kubana na alama ya pedi iliposhia inaonekana. Sasa si kuna mda mtafute mavazi mbadala, ikiisha wiki unaendelea na hayo mengine?
 
Back
Top Bottom