Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
mkeo/demu wako akiwa msafi inatosha,huko kwingine ulitumwa uende? ukome,na unapata wa kufanana na wewe...si ajabu hata saa hii unanusa kiboksa chako ili ukivae siku ya tano...[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko right mabinti wengi hawjali sana vifunikio vya nyeti zaoHabari,
Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.
Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.
Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?
Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.
Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!
Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.
Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.
Hapana mkuu!!!Kumbe nawewe ulishawahi kut.....
Boxer yangu hata msosi unaweza kulia kabisa... Kitu safiiiiimkeo/demu wako akiwa msafi inatosha,huko kwingine ulitumwa uende? ukome,na unapata wa kufanana na wewe...si ajabu hata saa hii unanusa kiboksa chako ili ukivae siku ya tano...[emoji41]
Mhhhmkeo/demu wako akiwa msafi inatosha,huko kwingine ulitumwa uende? ukome,na unapata wa kufanana na wewe...si ajabu hata saa hii unanusa kiboksa chako ili ukivae siku ya tano...[emoji41]
Unataka kununuliwa chupi tuUkiona hupendi alizovaa kanunue unazozipenda mpelekee.
wape habari yao mtu hakupi pesa ya maan anatak umvalie vizuri inahusu!!??Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
hili nalo neno..kunywa soda duka la jirani nakuja kulipaUkiona hupendi alizovaa kanunue unazozipenda mpelekee.
hahaaaaaaa napita tu mie khaa..Chupi kitu gani wewe si tunapenda kitobo kiwe kizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bora me sivai chupi.. kwani nalo ni kosa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
najaribu kuvuta pichaa etii
Vile vikamba vinakera bora kutokuvaaBinafsi nachukia nnapomuona binti mrembo kavaa chupi ya kizee imefunika tako lote kama pempas