Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

Binti anayejitambua mara zote akiwa anaenda kwenye tendo hujiswafi kuanzia mwili, kinywa, mavazi, chupi, maumbile ya ndani. Yani hata kumlamba unyayo huoni shida. Asiyejitambua ndio huyo anakuja na mavitu ya ovyo ovyo

Vladimir Lenin aliwahi kusema "Show me your friends and I will tell you what you are".

Pia nahisi mabinti hua wanaangalia nani wanaenda kumpa game, kama ni mtu wa maana basi atafanya kujiswafi ipasavyo, lkn kama ni mtu wa hapa na pale basi atakuletea ikiwa kama kiporo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mnunulie aina ya chupi unazopenda mpelekee...kama utamuona tena na pampers zake. Na siku nyingine akienda kununua atanunua aina uipendayo. Simple!
hhhhahah pampers
 
Nikikutana na yale ma-tight yao yale yanakua marefu mpaka yanakaribia magoti hakika nitacheza kama game ya kirafiki au ikibidi nasogeza pambano mbele.
 
Ilo somo wape madem zako mkuu,maana ni hao ndio umewakuta na ilo tatizo.

Wengine wanazovaa ni nzuri tu.
 
Habari,

Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.

Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila akikuruhusu kuona chupi yake, daaah! Mpaka mtu unatamani kutoka nduki.

Wakati mwingine unashindwa kutofautisha, hii ni chupi au kaboka?

Kuna bonge mmoja pale mashati, japo alinukia marashi, alikuwa kavaa chupi nyeupe ila ilinichukua muda kugundua maana kitu ilikuwa na maramani kibao kama mkusanyiko wa visiwa vya Mauritius.

Haya, mwingine nilikutana nae pale Clifton hotel, was real super in appearance ila kwa ndani alivaa tight mbili, moja rangi ya ugoro na nyingine sijui pinki au red!! Duh!

Uvaaji huvutia wandugu for both sexes. Usafi ni tunda la tabia. Jitahidi ukivaa vizuri nje, na ndani uvae nguo zenye mvuto. Nguo murua hustawisha mahusiano/ndoa.

Kumbuka: Aliyevuna shamba leo, atalirudia msimu ujao ikiwa lilimpa mavuno mazuri.

Blaza una majungu
 
Back
Top Bottom