EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli, ukiacha unafiki ambao ni tabia ya mtu binafsi sisi wanawake tuna roho ndogo sana....huwa nawaangalia wanaume wanapotaniana naishia kucheka, utasikia we msenge, mjinga ndio majina yao wanayoitana. Huwa naimagine eti nimuite mwanamke mwenzangu we ma.laya njoo hapa [emoji3][emoji3][emoji3] vita yake atakuja kuamulia Yesu mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume safi sanaMa men tuko vizuri.
Ni kweli, ukiacha unafiki ambao ni tabia ya mtu binafsi sisi wanawake tuna roho ndogo sana....huwa nawaangalia wanaume wanapotaniana naishia kucheka, utasikia we msenge, mjinga ndio majina yao wanayoitana. Huwa naimagine eti nimuite mwanamke mwenzangu we ma.laya njoo hapa [emoji3][emoji3][emoji3] vita yake atakuja kuamulia Yesu mwenyewe
Wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kunasehemu mnakwama
Hampendi kujishusha nakuomba msamaha hapo tuWapi sasa
Lakini kwa nini tuombe msamaha wakati nyie mnataniana bila kuombana msamahaHampendi kujishusha nakuomba msamaha hapo tu
MTU yeyote mwenye hulka yakuomba msamaha hawezi kuogopa kumtania MTU kama hivyo pia ninyi hampendani hata kidogoLakini kwa nini tuombe msamaha wakati nyie mnataniana bila kuombana msamaha
Hilo suala la kupendana sio kweli, ila nashukuru umenifumbua macho...tatizo lipo kwenye kuomba msamaha kumbeMTU yeyote mwenye hulka yakuomba msamaha hawezi kuogopa kumtania MTU kama hivyo pia ninyi hampendani hata kidogo
Labda kama ninauelewa hasi juu yawanawake kutopendanaHilo suala la kupendana sio kweli, ila nashukuru umenifumbua macho...tatizo lipo kwenye kuomba msamaha kumbe
Let's not argue about that kwa sababu katika hilo kila mtu ana mtazamo wakeLabda kama ninauelewa hasi juu yawanawake kutopendana
Nikweli hatuwezi kukubaliana katika hili ila Mara nyingi wanawake hua hawapendani Mimi ninaweza nikadate Chick mmoja Na mwanaume mwenzangu tukijuana tutacheka nakufurahi nakuhadithiana vile ulivyo lakini ninyi hamuweziLet's not argue about that kwa sababu katika hilo kila mtu ana mtazamo wake
Ndio zenu wanawakeHilo suala la kupendana sio kweli, ila nashukuru umenifumbua macho...tatizo lipo kwenye kuomba msamaha kumbe
SawaNikweli hatuwezi kukubaliana katika hili ila Mara nyingi wanawake hua hawapendani Mimi ninaweza nikadate Chick mmoja Na mwanaume mwenzangu tukijuana tutacheka nakufurahi nakuhadithiana vile ulivyo lakini ninyi hamuwezi
Nadhani umekubaliana Na Mimi mkuuSawa
Sijakubaliana na wewe hata kidogo, nadhani nimeshakuambia I don't want to argue about thatNadhani umekubaliana Na Mimi mkuu
Haya mkuu naomba kukiheshim kile unachokiamini maana mtu muungwana hua nikukubali Kwa nje nakutukuza kisicho sahihi ili anaekiamini aone niunafiki then abadirike mwenyewSijakubaliana na wewe hata kidogo, nadhani nimeshakuambia I don't want to argue about that
Sawa. Japo hata sijaelewa umeandika niniHaya mkuu naomba kukiheshim kile unachokiamini maana mtu muungwana hua nikukubali Kwa nje nakutukuza kisicho sahihi ili anaekiamii aone niunafiki then abadirike mwenyew
Umefanya makusudi kutokuelewa ila kinaeleweka mbonaSawa. Japo hata sijaelewa umeandika nini
Trust me, sijaelewa na sihitaji kuelewaUmefanya makusudi kutokuelewa ila kinaeleweka mbona