Wadada wa Dar na Visigino vyao

Wadada wa Dar na Visigino vyao

Nahisi nilishawahi kuandika hili pia
Kama siyo huku sijui nj wapi unamkuta mdada mrembo usoni ila miguu Jamani[emoji119]
Kuna na hivi Vipako wanapaka miguuni Kama ndizi choma
Ule uzi wako kitambo sana
 
Sendoz uvae huna mizunguko ya kwenye mavumbi, na usiburuze miguu ukitembea,

Mimi navaa Raba na Boots ndio nimejaza ndani, Sendoz huvaa nikiwa na mizunguko mifupi sababu sijui kutembelea sendoz pia natembea haraka haraka,

High heels navaa kwenye special Occasions tu.
Mwanamke akivaa Raba nampenda zaidi sio kuvaa tusandal anaonekana kama punguani
 
Picha ya mossimo plz

Nami nitoe ushamba

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
IMG-20230317-WA0018.jpg
IMG-20230317-WA0017.jpg
 
Tunaovaa mabuti na viatu vya mtumba vya kufunika tunacomment wapi?
 
Back
Top Bottom